Changamoto za uke wenza

Wajta ni wahuni Kuwa naye makini utaja lia. Labda umchune hafu ukuacha ukolee ndo wakuonyeshe true color
Mwenyewe kanikuta mwalimu hahahah simwachi as long as ana potential na ninanufaika naye yuko kwenye list yangu
 
Hamna wanaume wa kweli aisee labda my daddy tu, the rest ni monster walah. Hawa exist kwenye hii sayari
Duh sasa mbona umempendelea baba yako pekee basi na mie baba yangu ni mkweli pia wawe wawili kwa kuanzia
 
Unachelewa nini Kuja kwangu?
 
Inashangaza kwakweli....!

Hata Adam aliumbiwa mke mmoja tu.

Sijui wenzetu waislam wanawezaje kutokomeza wivu na kuchukulia poa hiyo hali.
 
Yako mbali yakifika karibu utajua Kuna kuvumilia ila nikukumbushe tu kuwa wote wanaanza Kama wewe harafu unafika muda wa kuoa bi mdogo kaa na akiba ya maneno haya ukijua Kuna wakati wa kucheka basi ujue upo wakati wa kulia ili wakati wa kulia ukifika hautalia maana ulijua upo huo wakati
 
Aisee,pole saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…