Changamoto za uke wenza

Yani ukiweza muache tu huyo mwanaume dia manake inaumiza saana has a kama huyo mwanamke wa ndani akajua au mwanaume aanze let's vituko ndani sababu yako
 
Mama Sabrina, mbona umeikimbia ile mada uliyoianzisha kule uliouliza Maisha ya zamani yalikwaje ?, kwani naona wadau wameendelea kutoa maoni yao wakati mtoa mada hayupo
 
Me uke wenza siuwezi ukiongeza mke nakuachia ndoa yako nasepa na wanangu life z too short kuumizwa kihisia na ukichepuka na Mimi yuleeeee natafta wa kunikuna heheheh
 
audacious ujumbe umfikie madame dokta
 
Hivi nilikupaga namba eeh?? Sikumbuki. Na itakua nilikupa namba ya gari maana namba zangu zinapatikana
Vile unatembea na beat mama, alafu sijui umenipiga umeme, namba yako haipatikanag tena [emoji14]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…