Changamoto za uke wenza

Umeona upendo nilio Kuwa naumaanisha ndo huo sasa. Hii ya upendo wa nje nikusogeza siku ziende ukiwa na true love lazima uumie only few wanaopendana na kuvumilia na Wana enjoy. Ila huku bongoland mtu Ana partners kumi hyo true love itapatikana wapi?
Kwani wazungu hawachepuki?
 
Shogaangu bora wewe ni girlfriend mie niligundua ana mke na watoto tena hapo tumeshafika mbali tunaanza na kutaka kutambulishana.
Yasikie tu kwa mwingine yasikukute kwakweli.

Sasa tuendeleze hapo kwny kutambulisha namm
 
Unamwanaume mvivu halo

Mimi nakitaga mpaka wiki haombi na huwa anatamani niondoke KBS maana Mimi ukinikumbatia umepigwa pini ukinigusa jamaa kasha zimka

Sijawahi pata mwanamke anayetaka mambo muda wote nadhani ningestarehe sana
Wanawake walio wengi hayo yanawashida ndiyo maana tunatafuta mbadala. Mimi kabla ya kulala lazima nipige, asubuhi hiyo sitaki nikose, sasa utasikia ohoo!1 si ulikula jana jioni, ohooo leo kazi za ofc zilikuwa nyingi nimechoka, mara ohoo sasa umegeuza ndio chakula? mara siko kwenye mood. Ukichepuka unapata dozi tosha na uwa hawachoki
 
Wakati hapo mchepuko hauchoki,Tena ndo unakupigia simu kukumbusha,watu wanachepuka kwasababu wanawake wanashindwa kutimiza majukumu yao
 
Najiulizaga hivi kweli naweza pata mwanamke anyehitaji muda wote maana hata akiwa anapika mi nadandia , sebuleni ninaye bafuni sukumia ndani, kwenye gari ni kushuka naye jumla jumlaaa hahahaha haki ya nani
 
Umeona upendo nilio Kuwa naumaanisha ndo huo sasa. Hii ya upendo wa nje nikusogeza siku ziende ukiwa na true love lazima uumie only few wanaopendana na kuvumilia na Wana enjoy. Ila huku bongoland mtu Ana partners kumi hyo true love itapatikana wapi?
Upendo wa mzazi yeyote unazidiwa na Upendo wa mungu kwa wanadamu tu kuwepo kwa upendo huu haimaanishi kuwa upendo baina ya mtu na mtu haupo .Neno Upendo haliwezi kuishia kwenye ngazi ya familia pekee mfano upendo wa Dada kwa kaka,Baba na mama pia na huu wa mzazi kwa watoto nashukuru japo umetambua Upendo hutokea japo ni kwa wachache na Wana enjoy.
Umeona upendo nilio Kuwa naumaanisha ndo huo sasa. Hii ya upendo wa nje nikusogeza siku ziende ukiwa na true love lazima uumie only few wanaopendana na kuvumilia na Wana enjoy. Ila huku bongoland mtu Ana partners kumi hyo true love itapatikana wapi?
 
Najiulizaga hivi kweli naweza pata mwanamke anyehitaji muda wote maana hata akiwa anapika mi nadandia , sebuleni ninaye bafuni sukumia ndani, kwenye gari ni kushuka naye jumla jumlaaa hahahaha haki ya nani
Tatizo ukishakuwa na watoto hayo yanafanywa watoto wamelala. na hapo ndipo unapolaliwa, ukitaka kulazimisha atapiga kelele au alale kwa watoto
 
... Namtaka awe wangu mwenyewe sitaki kushare

Acha uchoyo Mzigua..........just kidding mamii.

Ila bottomline, kila mara naaandikaga humu kuwa mwanaume rijali na mwenye hela walau za kuhang out hawezi kuwa na mwanamke mmoja, unless awe na hofu ya Mungu...sijui kama naelewekaga

Kwanza kumtosheleza kingono mwanaume wengi wenu hamuwezagi. Pili, ni wadada wengi sana wanampapalikia, so ni hofu ya Mungu tu ndo itamfanya atulie, otherwise afanye tu kukuheshimu, ajifiche fiche huko mbali usijue, ila sasa na wewe usimfukunyue
 
Najiulizaga hivi kweli naweza pata mwanamke anyehitaji muda wote maana hata akiwa anapika mi nadandia , sebuleni ninaye bafuni sukumia ndani, kwenye gari ni kushuka naye jumla jumlaaa hahahaha haki ya nani

Muhimu sana kiongozi yaani tupate chakula kwa style yoyote na sehemu yoyote ambayo mtaona kuna faragha. Mambo ya kuambiwa sijisikii sijui nimechoka, naumwa, aaargh yanatukatisha sana tamaa sisi mashababi
 
Tatizo ukishakuwa na watoto hayo yanafanywa watoto wamelala. na hapo ndipo unapolaliwa, ukitaka kulazimisha atapiga kelele au alale kwa watoto
Shida ya kuwa na kajumba kamoja lkn ukiwa na upana wa jemgo hata kama unawatoto mia hakuna shida

Nauliza sijui nitampata mwanamke atakaye niridhisha sijui lini
 
Muhimu sana kiongozi yaani tupate chakula kwa style yoyote na sehemu yoyote ambayo mtaona kuna faragha. Mambo ya kuambiwa sijisikii sijui nimechoka, naumwa, aaargh yanatukatisha sana tamaa sisi mashababi
Natamani nimpate huyo hata kama ataweza kuvumilia mikwaju minne

Siku moja MTU wangu kaniuliza hivi ni bao ngapi KBS ndo uridhike akasema maana yeye moja tu chali nikamwambia subiri nijaribu kwako aksema aka thubutu usijenivunja kiuno mtoto wa mwenzio nkamuuliza kwa hiyo nikachukue mwingine akasema jaribu uone nitaku.......
 
Unamwanaume mvivu halo

Mimi nakitaga mpaka wiki haombi na huwa anatamani niondoke KBS maana Mimi ukinikumbatia umepigwa pini ukinigusa jamaa kasha zimka

Sijawahi pata mwanamke anayetaka mambo muda wote nadhani ningestarehe sana
Hayupo mwanamke wa hivyo mkuu, japo humu utawasikia 'mi mume wangu akitaka nampa, si nipo kwa ajili yake' mmh nawachoragaaa nasema hawa watu kwa kuigiza tu hawajambo
 
Kwa kuongezea wengi wanasubiri wafanyiwe hata ukimwambia zungusha hawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…