Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Kwani wazungu hawachepuki?Umeona upendo nilio Kuwa naumaanisha ndo huo sasa. Hii ya upendo wa nje nikusogeza siku ziende ukiwa na true love lazima uumie only few wanaopendana na kuvumilia na Wana enjoy. Ila huku bongoland mtu Ana partners kumi hyo true love itapatikana wapi?