Changamoto za uke wenza

Sijui kama watakuelewa, utasikia ooh mnajiendekeza, wakati ndo uhalisia wa mwanaume rijali
 
Hayupo mwanamke wa hivyo mkuu, japo humu utawasikia 'mi mume wangu akitaka nampa, si nipo kwa ajili yake' mmh nawachoragaaa nasema hawa watu kwa kuigiza tu hawajambo

Kuna mahali nilikuambia uache kubishia mambo ya jinsia pinzani
 
Yani shida iko hapo! Hawajui kwamba michepuko hufuata baada ya wao kushindwa kutekeleza majukumu yao. Mwanaume ukishapiga cha kwanza ikipita dk 5 unataka tena na tena. Hili ni janga la kitaifa
 
Tatizo ukishakuwa na watoto hayo yanafanywa watoto wamelala. na hapo ndipo unapolaliwa, ukitaka kulazimisha atapiga kelele au alale kwa watoto
Hahaaa mkuu wee mzoefu wa maisha ya ndoa, nimekukubali bure
 
Ukewenza unauma na hakuna Mwenye kufurahia hiyo hali hata kidogo

Ila jamani utamu wa ukewenza uwe bibi mdogo ndio kunanoga

Niko kwenye situation ya mwanamke wa nje na ikiwa najua jamaa ana Mke ..nilijua itakua tu ile love ya juu juu but now nipo deep na kila nikifanya jitihada za kumuacha siwezi yani siwezi hata kiduchu

Umalaika umenishinda jamani
 
Mchepuko hali dagaa sio?
 
Kuna mahali nilikuambia uache kubishia mambo ya jinsia pinzani
Sikupasoma hapo mkuu, simu yangu mizinguo sana kwenye notifications za JF.

Ila ujue jinsia pinzani ndo zinajuana vizuri, kwenye ishu za bed Ke mnatujua sana sisi, halikadhalika sisi tunawajua sana nyie. Sisi kwa sisi hatujuani kingono, halikadhalika nyie kwa nyie hamjuani sana kingono.

Sijui kama nimekujibu au nimechanganya mafaili
 
Sisaidiki ndo shida. Namuacha mtu nikitaka ila sio pressure from outsiders. Rafiki zangu wameongea wamenyoosha mikono. Nitamuacha I know ila moyo ukiea tayari kama sada hivi..
Kwa sasa endelea kufaidi walau matunzo yake, ukipata mbadala safi, tena muoaji.kabisa ndo muache, otherwise utabugi mbaya
 
Kwa hiyo anaoa kwa pesa yangu iwe ya familiaa.. khaa akioa mke mwingine ajue hela yangu ni yangu means ana hela zimemzidia sasa tutaenda sawa tu...
Nilikuwa najitoa ktk familia wakat niko mimi na yeye sasa akioa ajue kujitoa kutaishaa

Kungwi mtoto kwa nini usijitegemee mpaka umtegemee mwanaume kifedha
 

Kwa hapo ulipo sample ya wanawake unaowajua ni ndogo sana kujumuisha!

Kuna wanawake wako vizuri sana kwenye mambo ya tendo mwanaume ndo anakimbia!

Lakini kumbuka baadhi ya wanaume wanaongoza Kuwaitis uvivu wake zao, kwa kushindwa kuwa appreciate katika mambo kadha wa kadha ndani ya nyumba.
 
Njoo kwangu mkuu
 
Hili nalisemaga humu daily
Sasa sijui lini utasikia mke wako anakupigia kukwambia wahi nyumbani nina hamu ukanit..e. waho ukifika tena umechelewa utasikia ulikuwa wapi? Ole wako mguse utasikia usiniletee umalaya wako, kuchelewa kote unajikosha nijue hujat..bana. Basi ukiomba atakwambia uko ulikoshinda hujapata?
 
[emoji3][emoji3]

Nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…