mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Sijui kama watakuelewa, utasikia ooh mnajiendekeza, wakati ndo uhalisia wa mwanaume rijaliWanawake walio wengi hayo yanawashida ndiyo maana tunatafuta mbadala. Mimi kabla ya kulala lazima nipige, asubuhi hiyo sitaki nikose, sasa utasikia ohoo!1 si ulikula jana jioni, ohooo leo kazi za ofc zilikuwa nyingi nimechoka, mara ohoo sasa umegeuza ndio chakula? mara siko kwenye mood. Ukichepuka unapata dozi tosha na uwa hawachoki