Changamoto za uke wenza

Kuna mahala niko naona wake wenza wanaelewana fresh tu hata wanatembeleana eti,
Ila kiukweli kabisa ningekuwa dume ningeoa wake wawili au zaidi,, ila kwavile niko jike sitaki mke mwenza

mke mmoja anadumaza na haifanyi familia kutokuwa na mgogoro nachoona wewe mtoa mada umelishwa tango pori na mama yako kakujaza sumu ya kutosha
 
haha... eti nimelishwa tango pori, utafikiri nilikuwa na hadithiwa wakati nilikuwa naona live. last time i c alielishwa tango pori ni wewe kwa kuchukulia poa hii ishu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babaako ni mwanaume rijali kabisa. Naunga mkono juhudi zake kuutetea uanaume wa kweli
 
■MWANAUME
HAKUNA SABABU YOTOTE YA KUWA MKE ZAIDI YA MMOJA, HAWA WANAWAKE NI WALE WALE NA HATA HUYO WA PILI ATAKUWA NA MAPUNGUFU PIA. NA KWA SISI WAKRISTO TUNAAMINI KUWA MUNGU ANAFANYA AGANO NA NDOA YA MKE WA KWANZA NA UZAO WA KWANZA
we mpumbavu unamwaga povu bila kujua ni nini hasa unalilia. Kwahiyo huyo mke wa baba yako ndio anawakilisha wanawake wote? huyo baba yako ndio anawakilisha wanaume wote????? kama baba yako alikua hajua ni vitu gani vinampasa kuoa mke wa pili kaa nae hukohuko usilete povu kwa kitu ambacho huna ujuzi nacho shwain.
 
yes baba wa imani" kwa jinsi alivyokubali kumtoa mwanae sadaka kama Mungu alivyomuagiza na kumuahidi.

Lakini ukumbuke kuwa Mungu aliamuru amtoe nyumbani pale yule house girl na mtoto wake, kwa maana Mungu aliona agano lake halikuwa kwa "abraham na house girl" ila ni " abraham na sarah"
Wanamuita baba wa imani au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahsante kwa kuwa mpumbavu zaidi yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuna shida tukiiga matendo ya baba yetu wa imani?
 
Hapo tatizo ni baba yako siyo uke wenza.
Mwaka wa sita leo naishi na wanawake wawili lawama pekee ninazopataga ni kwa nini kwa mama fulani umelala siku nyingi??
Na hapo ujue upande A ulizingua nikaenda B,siku nimerudi A ni mpole na atauliza kwa lugha ya upendo maana tofauti na hapo nitarudi B,lakini kuhusu mahitaji ya familia ni 50/50 kabisa kama A watalala njaa basi na kule B hali iko vilevile maana kama A kuna chochote nitakigawa na B wapate,sasa naomba umlaumu baba yako alinogewa akili akaweka rehani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikua hakuna ndoa hapo dingi ako alikua anadhihirisha ufuska wake tu, ndoa zina utaratibu wake , sasa we kaja tu kutambulisha huyu ndo mama yenu mwingine kienyeji enyeji tuuu, dingi alikua muhuni tu, poleni Sana kwa yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…