Changamoto za uke wenza

Tena hoja nyepesi mno mkuu.

Yaani mimi nikipata safari ya kikazi kwa wiki tu kuja hapo jijini Dar imekuwa tabu sana maana wengine haiwezekani kukaa siku tatu bila bila, kipindi chote hicho cha wiki moja naishije???

cc: Mishil
 
Hakuna mwanaume anaacha mwanamke mwenye tabia nzuri. Hapo lazma Mama ana shida.
 
huyo babu wamemkomesha hao wanawake, babu kashindwa kutoa dozi
mi nawashangaa wanawake wanaogombana kisa mwanaume, mnaungana mnakuwa mabest mbna atakoma
anti zangu washawah kumchapa anko, ana hamu akamuacha m1
 
wote mnaanza kwa kusema hivyo coz unatetea uamuzi wako ila baadae inakuwa movie nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mimi uchumi namshkuru mungu, akili ziko sawa, mwili wangu uko njema, mizigo tele mtaani, mke wangu hataki nichepuke hata kidogo anataka nioe, nangoja nini kwa mfano???
nami sitak mume wangu achepuke namwambia kila siku aoe tu mke wa pil ila hatak
 
Mungu wangu, yaani huwezi kukaa wiki moja? [emoji134][emoji134][emoji134] sasa kila mkoa unaotembelea utakuwa unaoa au namna gani
Tena hoja nyepesi mno mkuu.

Yaani mimi nikipata safari ya kikazi kwa wiki tu kuja hapo jijini Dar imekuwa tabu sana maana wengine haiwezekani kukaa siku tatu bila bila, kipindi chote hicho cha wiki moja naishije???

cc: Mishil

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ushauri umepewa huko juu kuwa ‘kama umeshakua basi upesi hama nyumbani kwa baba yako’, huyo unayemuita ‘mama’ kwake ni mke hivyo thamani yake ni tofauti unapaswa kuzingatia tofauti hiyo.... una mama mmoja tu ila kwa mke unaweza kuwa nao kadri upendavyo aidha kwa nyakati tofauti au kwa pamoja.

Unaumia kwa ajili ya mama yako ni kwa sababu aidha unampenda mno au unawajibika hivyo bila choice, ila hujui anayopitia mumewe hata kufikia hatua hiyo (kama nawe ni mwanamme na umeoa yakikukuta utajionea).... kosa pekee na ujinga wa mzee wako ni zile mbwembwe za kutambulisha huenda pilau la Christmas lilimfanya vibaya.
 
Mtanidiss na kunitukana, Mtanipinga na Kunikemea ila mkubali au mkatae..ndoa za uke wenza nyingi ni hell on earth, sio kwa sababu ya niliyoyaona kwa familia yangu bali hata pia case studies nyingi katika familia tofauti.

Na kwa sasa hakuna Mwanamke anaejitambua na kujiheshimu anaweza kukubali kuolewa mke wa pili, tatu..etc. Mtaendelea kuwachukua hao maboya wa mtelemko na kuwafanya wake zenu wa pili ila msitegemee control yenu ndio itafanya mambo yawe sawa, you will see what will come.

Mimi sio mdogo kiumri, mimi siishi nyumbani (nina famili yangu), mimi sio mwanaume dhaifu..eti ndio maana nimetoa hii post, wewe kama una mpango wa kuoa mwingine oa tu, ila nimeongea ukweli from experience not just from my own but with very many katika society.

So sioni sababu ya kuendelea kujibizana na kila mtu coz nimeshafikisha ujumbe na ukweli mmeuelewa coz wengine mlikuwa watoto wa wake za pili na mlishuhudia vitimbwi vya mama zenu, wengine mmeo wake wa pili, wengine imanibzeny zinaruhusu. thats why mmepanick.

Go ahead , i dont give a https://jamii.app/JFUserGuide..hahaa...endeeleeni kudiss.[emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…