Changamoto za uke wenza

Wanajifariji tu ila ukweli wanaujua ndani ya nafsi zao.
 
Uke wenza ni aina nyingine ya utumwa wa mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo babu wamemkomesha hao wanawake, babu kashindwa kutoa dozi
mi nawashangaa wanawake wanaogombana kisa mwanaume, mnaungana mnakuwa mabest mbna atakoma
anti zangu washawah kumchapa anko, ana hamu akamuacha m1

Mi shemeji yangu wake zake wanaelewana sana lakini ndio kila mtu ana mchepuko wake ila shemeji yetu ameshajua tunamuonea hata huruma aanaishia kunywa mipombe tu kachakaa hafai halafu wake zake wanajiremba warembo hao kufukuza anashindwa tayari ana watoto 13 yaani anatiaga huruma
 
Na ana uwezo sana kiuchumi huyo shemeji yako au ndo anasambaza tu umaskini na hao watoto 13? Afu maskini ndo tunapenda zaidi mitala sijui ndo tunajitutumua angalau tuonekane hatujakosa nguvu za kiuchumi angalau tuna za viunoni mweeh
 
Yaani mimi ni vile tu sina mood ya kuandika magazeti; ila nakuunga mkono na mguu na shingo kabisa. Tena bora hata mitala ya mababu angalau kulikuwa na upendo wa kinafiki na kuiogopa jamii; mitala ya digital ptuuuuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…