japotenda
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 203
- 158
hongeraSichepuki mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongeraSichepuki mimi
hahah..uncomplying comments nyingi humu ni za watoto wake za pili, tatu, michepuko etc or watu walio mke zaid ya mmoja.., ok sijaja kuponda familia zenu za uke wenza ila mtambue na naamini asilimia kubwa ya familia za uke wenza zina migogoro mikubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee. Maana wanne ni muhimu, imagine naenda holiday Nicaragua na wake zangu wote wanne
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio ndoto yako sioKweli aisee. Maana wanne ni muhimu, imagine naenda holiday Nicaragua na wake zangu wote wanne
Ahsante mkuuhongera
Au ndoto mbaya????
Ilikuwa ni siku ya krismasi, Baba anamleta mwanamke nyumbani na kumtambulisha kwa lazima na madaha kwetu. Akimwambia mama "Huyo ndio mke mwenzako muheshimu".
Kabla ya hapo huyu mwanamke alikuwa mchepuko wa mzee, akazaa nae, na baadae akawa akawa ni mchepuko wa mzee, nahisi mzee alinogewa na shepu la yule mama, angali hata alikuwa ana mtoto (aliezaa na mwanaume mwingine) ila mdingi alimfanya official.
Mzee wangu alimnyanyasa sana mama yangu hata mbele yetu. Kusahau juhudi ya mama ndio ilikuwa sababu ya mzee kufika alipo (na hata pesa ya kuwa na jeuri ya kuoa mke mwingine). Alijitamba sana kuwa huyo mwanamke ndio aina ya mwanamke aliekuwa ana hitaji na kwa mama yangu alikosea step. Huyu mwanamke (mke wa pili) ili alinde nafasi yake alijitahidi zaidi katika ushirikina na vioja vingi vya kumharibia mama yangu.
Ilifika wakati mama aliondoka nyumbani. Maisha ya kuona mama ananyanyasika na baade ile hali ya kumkosa mama ilituathiri sana watoto kisaikolijia hadi katika elimu. Hatimaye biashara za mzee zilianza kufeli na mambo yake yakaanza kwenda vibaya, na ilionekana wazi kuwa baraka za huyu mzee ni kutokana na uwepo wa mama.
Wadogo zangu walikuwa wadogo sana, na malezi ya huyu mama hayakuwa original kwa wadogo zangu. So mama aliamua kusacrifice furaha yake na kuja kurudi ili akae atuleee ili hali alijua bado atakutana na kero.
Lakini yule mwanamke hakuwa kama vile mzee alivyotegemea, kama ni tabia mbaya aliionesha hata mara tano zaidi ya mama yangu. DAYS ARE NUMBERED! Yani huyu mwanamke ambae alikuwa anaonekana kama sweetheart wa mzee, Mzee alimfumania meseji za mapenzi kutoka kwa mmoja wa wateja wake na inasemakana kipindi huyu mzee alipokuwa hayupo huyu mwanamke alikuwa anaenda kujivinjali usiku na awala yake. hahah ...Mdingi alipiga akataka kuua na ilimuuma sio kawaida hadi akaita ndugu zake.
■WANAWAKE
JIULIZE, KWANINI MWANAMKE AKUBALI KUOLEWA KAMA MKE WA PILI KAMA SIO AMEKOSA UTU AU KUTAKA MTELEMKO WA MAISHA KWA KUWA WANAUME WALIOKWISHA KUOA UNAKUTA WAMESHATOKA KIMAISHA. MARA NYINGI MNAKUJA KUHARIBU MAISHA YA FAMILIA YA MKE YULE NA WENGI WENU MNAHAKIKISHA NAFASI MAALUM MNAISHIKA NYIE, SO MNAHANGAIKA KWA WAGANGA.
■MWANAUME
HAKUNA SABABU YOTOTE YA KUWA MKE ZAIDI YA MMOJA, HAWA WANAWAKE NI WALE WALE NA HATA HUYO WA PILI ATAKUWA NA MAPUNGUFU PIA. NA KWA SISI WAKRISTO TUNAAMINI KUWA MUNGU ANAFANYA AGANO NA NDOA YA MKE WA KWANZA NA UZAO WA KWANZA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Senki yu
Hivi natakiwa nikupigie vile?? Sio wewe ndio uniambie nikupigie lini??
Aisee kumbe eeh? Basi nilisahauHivi natakiwa nikupigie vile?? Sio wewe ndio uniambie nikupigie lini??
huyo babu wamemkomesha hao wanawake, babu kashindwa kutoa dozi
mi nawashangaa wanawake wanaogombana kisa mwanaume, mnaungana mnakuwa mabest mbna atakoma
anti zangu washawah kumchapa anko, ana hamu akamuacha m1
Na ana uwezo sana kiuchumi huyo shemeji yako au ndo anasambaza tu umaskini na hao watoto 13? Afu maskini ndo tunapenda zaidi mitala sijui ndo tunajitutumua angalau tuonekane hatujakosa nguvu za kiuchumi angalau tuna za viunoni mweehMi shemeji yangu wake zake wanaelewana sana lakini ndio kila mtu ana mchepuko wake ila shemeji yetu ameshajua tunamuonea hata huruma aanaishia kunywa mipombe tu kachakaa hafai halafu wake zake wanajiremba warembo hao kufukuza anashindwa tayari ana watoto 13 yaani anatiaga huruma
Yaani mimi ni vile tu sina mood ya kuandika magazeti; ila nakuunga mkono na mguu na shingo kabisa. Tena bora hata mitala ya mababu angalau kulikuwa na upendo wa kinafiki na kuiogopa jamii; mitala ya digital ptuuuuuuuuuuuuuMtanidiss na kunitukana, Mtanipinga na Kunikemea ila mkubali au mkatae..ndoa za uke wenza nyingi ni hell on earth, sio kwa sababu ya niliyoyaona kwa familia yangu bali hata pia case studies nyingi katika familia tofauti.
Na kwa sasa hakuna Mwanamke anaejitambua na kujiheshimu anaweza kukubali kuolewa mke wa pili, tatu..etc. Mtaendelea kuwachukua hao maboya wa mtelemko na kuwafanya wake zenu wa pili ila msitegemee control yenu ndio itafanya mambo yawe sawa, you will see what will come.
Mimi sio mdogo kiumri, mimi siishi nyumbani (nina famili yangu), mimi sio mwanaume dhaifu..eti ndio maana nimetoa hii post, wewe kama una mpango wa kuoa mwingine oa tu, ila nimeongea ukweli from experience not just from my own but with very many katika society.
So sioni sababu ya kuendelea kujibizana na kila mtu coz nimeshafikisha ujumbe na ukweli mmeuelewa coz wengine mlikuwa watoto wa wake za pili na mlishuhudia vitimbwi vya mama zenu, wengine mmeo wake wa pili, wengine imanibzeny zinaruhusu. thats why mmepanick.
Go ahead , i dont give a ****..hahaa...endeeleeni kudiss.[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1335715
Sent using Jamii Forums mobile app