Changamoto za uke wenza

Changamoto za uke wenza

Huyu jamani nilimuuliza kama mara tatu anakana kabisa kabisa hana mwanamke. Siku nikamkazia nikamwambia najua una mwanamke na unaishi nae. Yani sijui nini kilikua kinaniaminisha huyu kaka ana mwanamke. Akasema ni kweli ila nilikua naogopa kukwambia sababu ungenikataa na mimi nakupenda. Aliniumiza sana. Bora angekua mkweli toka mwanzoni nisingeingia kwenye mahusiano yake.
Dddaah..alafu ndo trend sikuizi. Mwanaume anakataa macho makavu kabisa hana mke wala mtoto. Bas tuu kukuvurugia maisha kwa ubinafsi wao. Coz wanajua fika haiwezi kuwa. Baadae ukishakolea ndo unajua kiuhakika ukweli mchungu..pole tena. Ni bas tuu wengine hawana ujasiri wakufunguka yalowasibu kama ulivyoweza kufanya hapa jf.
 
Mtazamo wangu, ili uweze ukewenza,
-Usiwe na wivu, uwe busy na miradi yako kichwa muda wote kinawaka moto katika utafutaji,
-Kama hupendi mambo ya kutiwa tiwa hapo ukewenza utaumudu, zile za kudekezana msg asubuhi mchana na jioni simu masaa manne mnaongea tu mkikata mnatumiana msg ooh nimekumiss hapo shost ukewenza utakua mgumu.

Kiufupi ili mtu amudu ukewenza kwenye lgbt tunamuita Asexual.

Wake za Mtume walikua wanagombana na kuoneana wivu itakua kizazi hiki.
Rafiki una mpango wa kuacha kupiga punyeto lini?
 
Kwenye hela hapana. Hana hela za kunikeep. Kiherehere cha moyo tu ila hela ya kunipa hana.
Mmh nishakupata vizuri now, I can now imagine how u feeling, manake ulikuwa na mategemeo fulani fulani hivi amazing....gafla yakayeyuka

Hapo sasa akili kumkichwa au akuoe mke wa pili if possible

NB: mi hii quilty conscious niliyo nayo pia inanisaidia haya mambo niyaepuke
 
Asante mkuu nimepoa
Dddaah..alafu ndo trend sikuizi. Mwanaume anakataa macho makavu kabisa hana mke wala mtoto. Bas tuu kukuvurugia maisha kwa ubinafsi wao. Coz wanajua fika haiwezi kuwa. Baadae ukishakolea ndo unajua kiuhakika ukweli mchungu..pole tena. Ni bas tuu wengine hawana ujasiri wakufunguka yalowasibu kama ulivyoweza kufanya hapa jf.
 
Hahahaa.. kuolewa mke wa pili sio rahisi mkuu. Ngoja nione tutakapoishia

Back
Top Bottom