Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Screenshot umuonyeshe.Ujumbe murua Kabisa,bahati yake hayupo humu..ningemtag.[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Screenshot umuonyeshe.Ujumbe murua Kabisa,bahati yake hayupo humu..ningemtag.[emoji3]
SiweziUngekua mke mwenza tu
Acha niishie tu hapo kwanza.Sasa tuendeleze hapo kwny kutambulisha namm
Acha niishie tu hapo kwanza.
Kiranga chote kimeniisha kwasasa.
Acha nisau kwanza mana sitaki kupatwa tena.
Dddaah..alafu ndo trend sikuizi. Mwanaume anakataa macho makavu kabisa hana mke wala mtoto. Bas tuu kukuvurugia maisha kwa ubinafsi wao. Coz wanajua fika haiwezi kuwa. Baadae ukishakolea ndo unajua kiuhakika ukweli mchungu..pole tena. Ni bas tuu wengine hawana ujasiri wakufunguka yalowasibu kama ulivyoweza kufanya hapa jf.Huyu jamani nilimuuliza kama mara tatu anakana kabisa kabisa hana mwanamke. Siku nikamkazia nikamwambia najua una mwanamke na unaishi nae. Yani sijui nini kilikua kinaniaminisha huyu kaka ana mwanamke. Akasema ni kweli ila nilikua naogopa kukwambia sababu ungenikataa na mimi nakupenda. Aliniumiza sana. Bora angekua mkweli toka mwanzoni nisingeingia kwenye mahusiano yake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa mashehe utawasikia tu "Mashallah".
Rafiki una mpango wa kuacha kupiga punyeto lini?Mtazamo wangu, ili uweze ukewenza,
-Usiwe na wivu, uwe busy na miradi yako kichwa muda wote kinawaka moto katika utafutaji,
-Kama hupendi mambo ya kutiwa tiwa hapo ukewenza utaumudu, zile za kudekezana msg asubuhi mchana na jioni simu masaa manne mnaongea tu mkikata mnatumiana msg ooh nimekumiss hapo shost ukewenza utakua mgumu.
Kiufupi ili mtu amudu ukewenza kwenye lgbt tunamuita Asexual.
Wake za Mtume walikua wanagombana na kuoneana wivu itakua kizazi hiki.
Mmh nishakupata vizuri now, I can now imagine how u feeling, manake ulikuwa na mategemeo fulani fulani hivi amazing....gafla yakayeyukaKwenye hela hapana. Hana hela za kunikeep. Kiherehere cha moyo tu ila hela ya kunipa hana.
Dddaah..alafu ndo trend sikuizi. Mwanaume anakataa macho makavu kabisa hana mke wala mtoto. Bas tuu kukuvurugia maisha kwa ubinafsi wao. Coz wanajua fika haiwezi kuwa. Baadae ukishakolea ndo unajua kiuhakika ukweli mchungu..pole tena. Ni bas tuu wengine hawana ujasiri wakufunguka yalowasibu kama ulivyoweza kufanya hapa jf.
Mmh nishakupata vizuri now, I can now imagine how u feeling, manake ulikuwa na mategemeo fulani fulani hivi amazing....gafla yakayeyuka
Hapo sasa akili kumkichwa au akuoe mke wa pili if possible
NB: mi hii quilty conscious niliyo nayo pia inanisaidia haya mambo niyaepuke
Chura ipo? Sio unaongea kwa kujiamini hivyo wakati chura huna.Nakuambia hivi nishapitia wanaume wa hivyo shule kamili ninayo kichwani, G wangu ni malaika hakuna kama yeye jasiri haachi asili nakuambia,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chura ipo? Sio unaongea kwa kujiamini hivyo wakati chura huna.
Rafiki nitetee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu jamaa hajui tu kwamba rafiki yangu chura ipo!!Rafiki nitetee
Hajui tu rafikiHuyu jamaa hajui tu kwamba rafiki yangu chura ipo!!
Kuna jamaa alibanwa swali gumu kama hilo eti akajibu "kwani jf kuna story za kweli"?[emoji13]So anarud daily toka USA ili uwe naye ama sijakuelewa?
Nani hawezi? Na kwanini hawezi?huwezi kuwa na mke mmoja kama mama yako mzazi
Wanaume hatuweziNani hawezi? Na kwanini hawezi?
Looh! PoleShoga angu subiri uendelee kuwa nae halafu uje kujua alikua anakudanganya na ushafall in love.
Niko kwenye situation hiyo na nampenda huyu kaka kufa ila ana gf na alinidanganya he's single. Nimekuja shtuka ana gf na anaishi nae jamani. Napambana kumuacha ila nashindwaaa.
Looh! Pole