Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Dini ya kiislam inaruhusu, hata na zaidi. Na kuna taratibu za kufuata kama unapata pingamizi kutoka ktk familia
Well, alitakiwa ajiandae kwa matokeo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini ya kiislam inaruhusu, hata na zaidi. Na kuna taratibu za kufuata kama unapata pingamizi kutoka ktk familia
Mimi nisingependa kuongelea swala la kuongezewa mke mwenzie maana tayari ndio ameshaongezwa,nadhani cha kufanya kwanza huyo rafiki yako atueleze vizuri ni ugumu upi anaouzungumzia,ikibidi atuweke wazi kabisa ili tujue jinc ya kumsaidia,mbali na hapo itakuwa ngumu ni sawa na kutafuta kijiwe baharini...halafu nahisi kama mlengwa ni wewe mwenyewe kwa nini usiwe muwazi ili usaidiwe??
daah siwezi kugawana mapenzi huku nikijua!
Hivi ukiwa unaolewa, kile cheti cha ndoa si kuna mahali unajaza ndoa ni ya mke mmoja ama wengi.....sasa kama yeye alikubalina na kuwa itakuwa ya wake wengi basi she volunteered her own injury!
Btw; kwa wale wenye kuruhusiwa mke zaidi ya mmoja, si unaweza pia kusema ni ya mke mmoja kama huna lengo la kuoa wengi! Black Rose hapa utanisaidia najua hapa una uelewa ziadi yangu.
hahaha muda wanao, watu wanamwaga tu wino bila kujali, alimradi ni cheti cha ndoa. Ngoja siku wasaini karatasi za kunyongwa!!Ndo shida ya uvivu wa kufanya proof reading! Wakati wa honeymoon kamata hiyo cheti tik chwaa! Kama walitiki huenda ikawa ya wengi unatiki boksi zote afu kura inakuwa imeharibika!
si kweli ulichoandika. unaweza ukawa na wake wawli na wote ukawapenda bila kubagua.Uke wenza siyo maisha,
mapenzi hakuna,
hujui hata mwanaume kalala wapi,
dharau huwa nyingi,
hata uwezekano wa kupata marazi ni mkubwa sana.
kama anajiweza aanze mdogo mdogo.
Hapo sasa...mhhhh...hebu tusikie wengine watasemaje lolkuhusu maradhi, hapo kuna mawili amuombe Mungu amwepushe na maradhi huku aende kupima, na amwambie mumewe na ,ke mpya wakapime, au amwombe Mungu amuepushe na maradhi na azungumze namumewe kujikinga /kutumia condom(ambalo mume hatoafiki), au wasingonoke kabisa na mumewe(na ndoa yenyewe ndo itakua imeishia hapo)
YAANI! Utadhani ulikuwepo akihadithia madhila yanayomkuta. Kinachompa shida kuliko vyote siyo pesa, wala nini,Ni hapo tu pa kushare hiyo kitu! Bwana kutumia condom kagoma katakata hadi imebidi bi dada akapime na kujihakikishia salama.Mwisho wa mchezo umeishia hapo.Hata zamu haoni haja maana hamhitaji huyomume kwa lolote isipokuwa kuwa kwenye maisha ya wanawe ambao bado wadogo.
mpe pole, inawa ingekuwz mie ningevuta nyumba ndogo ya kuniliwaza mume akiwa zamu kwa bi mdogo lohhhh
Sasa matatizo yako wapi? kwani mwanaume akioa mke wa pili ndo matatizo yanakuja, hata kama angekuwa na yeye tu matatizo yatakuja tu.
Mimi naona atulizane tu huyo shost wako, mana akifanya fujo atatwanga talaka mambo yataisha.