Hospitali ya Taifa Muhimbili
Public Institution
- Apr 9, 2026
- 13
- 38
Hehe! Huyo matilda tunaungananae wapi, kivipi na saa ngapi..?View attachment 3592455
Je, wajua kuwa changamoto za uzazi si kwa mwanamke pekee, bali zinawahusu pande zote mbili mwanaume na mwanamke? Ubora wa mbegu za kiume ni miongoni mwa sababu kubwa zinazochangia familia nyingi kushindwa kupata mtoto.
Ungana na Dkt. Matilda Ngarina, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi pamoja na Mbobezi wa Uzazi Pandikizi, Hospitali ya Taifa Muhimbil akieleza kwa kina kuhusu chanzo cha changamoto hizo, umuhimu wa uchunguzi kwa pande zote mbili, pamoja na njia sahihi za matibabu na ushauri wa kitaalamu.
Nahitaji majibu ya uhakika kwenye hili swali langu. Na mkishindwa kujibu ni bora mkaondoa na hii akaunti yenu humu jukwaani. Siyo muwe mnatuletea tu mada zenu, halafu tukiwauliza maswali hamjibu!View attachment 3592455
Je, wajua kuwa changamoto za uzazi si kwa mwanamke pekee, bali zinawahusu pande zote mbili mwanaume na mwanamke? Ubora wa mbegu za kiume ni miongoni mwa sababu kubwa zinazochangia familia nyingi kushindwa kupata mtoto.
Ungana na Dkt. Matilda Ngarina, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi pamoja na Mbobezi wa Uzazi Pandikizi, Hospitali ya Taifa Muhimbil akieleza kwa kina kuhusu chanzo cha changamoto hizo, umuhimu wa uchunguzi kwa pande zote mbili, pamoja na njia sahihi za matibabu na ushauri wa kitaalamu.
Asante kwa kutembelea ukurasa wa Muhimbili. Tafadhali tupigie +255 790 312 335Nahitaji majibu ya uhakika kwenye hili swali langu. Na mkishindwa kujibu ni bora mkaondoa na hii akaunti yenu humu jukwaani. Siyo muwe mnatuletea tu mada zenu, halafu tukiwauliza maswali hamjibu!
Swali langu ni hili hapa kwenu nyinyi wataalam wetu;
Mimi ni Mzee wa makamo kama mnavyoniona kwenye avatar! Nimeoa mke niliyemzidi miaka mingi. Na tuna miaka kadhaa sasa hakuna mtoto.
Je, nikija naye kupata vipimo itagharimu shilingi ngapi? (Namaanisha vipimo vya sisi wote wawili) Kumbukeni hatuna Bima ya afya, na Dar es salaam hatuna ndugu.
Majibu tafadhali. Mimi niko Lushoto Tanga.