strong star
Member
- Jul 15, 2021
- 36
- 42
Vijana ndio nguvu kazi ya jamii na taifa kwa ujumla, kundi hili la vijana ndilo linategemewa katika uzalishaji mali na nguvu kazi katika jamii.
Ni kwanini tunasema vijana ndio nguvu kazi namba moja katika jamii ?'
- Ni kundi lenye watu wengi zaidi ukilinganisha na makundi mengine ambayo ni wazee na watoto.
- Ni kundi lenye nguvu zaidi kuliko makundi mengine .
- Ni kundi lenye msimamo zaidi ya makundi mengine .
- Ni kundi lenye mchango chanya zaidi katika jamii.
- Ni kundi lenye kiu zaidi ya mafanikio na maendeleo.
- Ni kundi lenye umri sahihi ( miaka 18 - 46 ) wa uzalishaji mali ukilinganisha na makundi mengine .
Hivyo basi,Ikiwa vijana ndio kundi sahihi katika kuleta maendeleo na mafanikio katika jamii,kwa nini vijana tunashindwa kufikia malengo na matalajio haya ?,
Zifuatazo ni changamoto na vikwazo zinazotukumba vijana wengi katika jamii zetu kuelekea maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla ,
Rushwa na ubadhilifu wa mali za umma , Pamoja na juhudi za serikali na wanajamii kutokomeza rushwa na ubadhilifu wa mali za umma bado yameendelea kuwa changamoto kubwa katika kufikia maendeleo ya vijana wengi kwani vitendo hivyo ambavyo utokea kwa viongozi na baadhi ya wanajamii usababisha kuachwa mwenye vigezo na sifa na kubebwa asie faa mwishowe kuwaacha vijana wengi mtaani.
Elimu na siasa, Bado changamoto ya elimu hasa ile ya kujitegemea imebaki kuwa ndoto na matarajio ya vijana wengi katika jamii kwani baada ya kuhitimu au kushindwa kuendelea zaidi kielimu unabaki bila ujuzi na maalifa ya kujitegemea mtaani ,Bado elimu yetu inatuandaa kuwa tegemezi zaidi kuliko kujitegemea mwenyewe.
Siasa hasa kwa wale viongozi katika jamii wanaendelea kutoa ahadi ambazo zinaendelea kubaki midomoni mwao tu na mipango isio tekelezwa hasa ile ya vijana na maendeleo.
Uchochezi na mitazamo hasi juu ya vijana, Bado jamii ina litazama kundi la vijana vibaya kama vile Chic he so,ulevi,watumia mihadalati,wasio na adabu wala busala, hivyo kuendelea kulinyima sifa na nafasi katika shughuli za maendeleo na nyazifa mbali mbali katika uongozi, mwisho wa siku kuuwa na kukatisha ndoto zao na kiu yao ya mafanikio.
Mtaji na uwezeshwaji, Upungufu wa mitaji au mikopo yenye liba nafuu zaidi katika uwezeshwaji wa vijana kwenye shughuli za mandeleo unaendelea kukwamisha jitihada na juhudi za vijana wengi, Hasa ukizingatia vijana wana mawazo na malengo makubwa katika kujiendeleza, kwa mfano kilimo na ufugaji, biashara, na shughuli zingine za maendeleo.
Uthubutu na imani potofu juu ya vijana, bado wanajamii hawana imani kabisa na uthubutu wa vijana katika shughuli za maendeleo ata iwe kuwapa nafasi na kuwaamini hasa katika nyazifa za uongozi , bado imekuwa shida sana kwani vijana uchukuliwa kama kundi ovu zaidi na lisilo faa kabisa kwenye jamii.
Malengo, misimamo na mazingira, Bado misimamo na malengo ya wazazi au walezi wengi katika kuwawekea watoto wao mazingira bora zaidi kufikia ndoto zao inabaki kuwa kitendawili kikubwa sana ,kwani wazazi upenda sana watoto wao wafanye kazi wanazo wachagulia wao au zenye maslai zaidi kwao na sio wanazo chagua watoto, Hivyo kukwamisha kufikiwa kwa ndoto na mlengo ya vijana wengi.
Hivyo basi, pamoja na changamoto hizi kutoka kwa wanajamii ,Vijana nao wana changamoto zao kama vile :-
* Tunaendeshwa sana na tamaa za mwili na kihisia kama vile wizi ,mihadalati,madawa ya kulevya ,ngono, nakadhalika .
* Kujidhalau na kukosa kujiamini au kujiona huna sifa katika kutumia fulsa na nafasi mbalimbali .
*Imani za kishilikina na uchawi .
* Kukosa uaminifu na matumizi mabaya ya nafasi na nyazifa mbalimbali tulizopewa hivyo kufanya jamii kukosa imani tena na sisi.
*Kutokuwa na heshima na adabu hivyo kufanya jamii au wazazi utuone kama kundi lisilo na busala wala hekima kabisa katika kupewa nafasi
Ni matumaini yangu na ya vijana wengi kuwa haya yatafanyiwa kazi ipasavyo na kusaidia vijana katika kujiletea na kuiletea jamii maendeleo na mafanikio katika taifa kwa ujumla.
Ahsante .

Upvote
8