Changamoto za wake vibonge

Changamoto za wake vibonge

Kwaiyo Mkuu ile style Unaiweka alafu unafanya kama unakung'uta sisimizi haujawahi kupewaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Style ya kukung'uta wanaweza wenye body kinanda kama khumbu, we ulisikia wapi mwenye kg za digits tatu aweze hehehehe am out...
 
Unakua na kibonge...afy ukimpgisha doggy anatoa harufu kwenye munyu

Hapo sasa
 
Unakua na kibonge...afy ukimpgisha doggy anatoa harufu kwenye munyu

Hapo sasa
Wanawake wanene ni wasafi sana ukimukuta anae jitambua kama mke wangu hajawahi kuvaa nguo moja siku yote anaonga zaidi ya mara mbili kiujumla ni msafi, ndo maana nampenda japo kuna changamoto kama nilizo taja hapo juu.
 
Mungu bariki sana vibonge. Wako poa sana. Wana upendo wa kutosha, kila saa ni kutabasam tuu, hakuna makelele ya hovyohovyo halafu pia hakuna complications.

Atakaeponda vibonge na alaaniwe!
Mzee wa churaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Doggy VP au una kiba100 ... Hilo Ni Swala la kuzungumza na Bebe wako.
Kazi ipo akifika mshindo mapaja yanakuwaga mazito ghafla...kazi kuzuia Kama alivyosema mdau hapo..
Hiyo Milo miwili...
Kiepe sana...
Nyama nyama...
Tuvitu twa kukaanga kaanga...
Me nimepiga marufuku Ila Mtu ndo anazidi kuwa Tembo.

SEMA downtown Manhattan kunakuwaga Tight alafu Kina Kifupi.
[emoji3531][emoji526] vibonge.
Yaani tusile....... Hatuwezzzzzz[emoji23]
 
Yaan nlikua nataka nikutag ningeshangaa kama usingetia neno hapa heheheee team vibonge sisi ni waifu material kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣
Ameeeen...Ameeeen
🤸🤸🤸🤸 Vibongeeee🔊🔊🔊🔊🔊
 
105!!! Duh zamani nilikuwa napenda mwili mkubwa ila kadri siku zinavyoenda nachukia hiyo miili, unaonekana km lidudu huvai ukapendeza, uvivu muda wote kupumua km nguruwe tu hata nikiona mnene najisikia vibaya mno
Inaonesha una roho mbaya mno
 
Tabu ya vibonge hakipungua sana uzito basi na ule mvuto wao wa mwanzo unapotea kabisaa.
Mwangalie Wema Sepetu unaweza kuelewa fresh.

Tabu ya pili ni kuwa, vibonge hawana swaga mpya, ni rahisi mnoo kuwakinai. Mvuto wao hauongezeki zaidi.

Mwisho ni kuzaa, Kibonge akishazaa tu na kuzeeka kunaanza hapo hapo. Yaani anakuwa mmama, ovyo ovyo, hajitunzi vizuri na akili inahama kabisa!

Ushauri wangu, huyo nenda naye taratibu hivyo hivyo ukimrekebisha bila kushoka, ipo siku mtakuwa fit vizuri tu.
Kisura cha madam kimekuwa kama kijibwa cha chiuwa uwa....
 
Back
Top Bottom