Changamoto za wake vibonge

Changamoto za wake vibonge

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wale wanakuwa na mapaja mazito kwahiyo una kazi ya kuyashika yasishuke chini wakati wa missionary position
 
Kuzaa hakufanyi mwili uumuke hongera sana kwa kujitunza vyema, mi ninao 3 na tumbo navaa inch 30, hips inch 47 na uzito ni 78kg na huwa zinashuka mpaka 68kg kwahiyo unaweza kuona kuwa kuzaa si sababu ya mwanamke kupoteza mvuto wa kimuonekano
Uko na kapicha tuone [emoji847][emoji847]
 
Habarini za asubuhi, mke wangu ana uzito wa kilo 101, tumekaa katika mahusiano takribani miaka saba, (7) sijui wenzangu wenye wake wenye uzito mkubwa mnapitia experience nayopata au ni wa kwangu tu?

Changamoto ya kwanza: Akilala saa nne ni mpaka asubuhi hata hageuki wala kuniamsha ni shida kweli nikiwa na ratiba ya kudamka.

Changamoto ya pili: Ni kukoroma akiwa katika usingizi mzito, huwezi kupata usingizi mpaka amalize kukoroma.

Changamoto ya tatu: Akikaa kutizama runinga lazima alalie sofa au anilalie mimi nikiwa karibu nae, ni marufuku kwake kukaa upright kwenye kochi sebuleni.

Changamoto ya nne: Hapendi kula breakfast mapema, anapendelea ale saa tano au sita, alafu hali lunch tena mpaka supper. Anakula milo miwili tu kwa siku.

Changamoto nyingine: Anapendelea missionary style tu (wakubwa mmenielewa) lakini anapenda almost kila siku mchana au asubuhi ila sio usiku wa manane!

Je ni wa kwangu tu au wote wenye unene huo wako hivyo?

Tafadhali karibuni wenye wanene kama wa kwangu tupeane uzoefu na suluhisho la kutatua chang'amoto hizo za wake zetu wapendwa.
Kitu gani kinakufanya uamini ayafanyayo ni kwa ajili ya ubonge wake? Kuna kitu kwenye Takwimu kinaitwa 'spurious correlation'. Ni sawa na kuona kombi imejaa Waislamu wanatoka msikitini siku ya Idd wamevaa kanzu. Gari ikapata ajali wakafa 90% yao lakini mmoja aliyekuwa hakuvaa kanzu akapona. Unarukia kusema kuvaa kanzu kumewaponza hao waliokufa.
 
Mkuu unamanisha nini? Ndomaana nimeuliza wenzangu niwakwangu tu au nawengine?
 
Doggy VP au una kiba100 ... Hilo Ni Swala la kuzungumza na Bebe wako.
Kazi ipo akifika mshindo mapaja yanakuwaga mazito ghafla...kazi kuzuia Kama alivyosema mdau hapo..
Hiyo Milo miwili...
Kiepe sana...
Nyama nyama...
Tuvitu twa kukaanga kaanga...
Me nimepiga marufuku Ila Mtu ndo anazidi kuwa Tembo.

SEMA downtown Manhattan kunakuwaga Tight alafu Kina Kifupi.
[emoji3531][emoji526] vibonge.
....halafu pia hapo downtown, Usikivu wa Mikito yako unakuwa Hundred parcent!!...hakuna kupwaya pwaya kusikotakika, if you know what I mean!![emoji16][emoji16]
 
....halafu pia hapo downtown, Usikivu wa Mikito yako unakuwa Hundred parcent!!...hakuna kupwaya pwaya kusikotakika, if you know what I mean!![emoji16][emoji16]
Niwe mkweli hapo pako sawa kabisa......
 
Mkuu unamanisha nini? Ndomaana nimeuliza wenzangu niwakwangu tu au nawengine?
Nilichokuwa nadadisi ni kuoanisha kwako kwa ayatendayo na ubonge wake. Hata kichwa cha habari kinaashiria kwamba unaamini ayafanyayo yanatokana na umbile lake. Ungeeleza tu ayafanyayo bila kulenga causal relationship kwa maana ya cause and effect.
 
Hayo mengine vumilia tu, shukuru MUNGU mechi anakupatia. Huyo Hana shida, kuwa mianja mtekenye tekenye, msifie hasa hapo anapokuegemea kwenye Kochi jifanye unasisimka halafu mwambie leo game kichuma mchicha. Yaani unaanzisha tu mazungumzo hayo from nowhere. Usisubiri aanze yeye lianzishe mwana! Hata mie usiku wa manane sipendi mida hiyo.
 
Doggy VP au una kiba100 ... Hilo Ni Swala la kuzungumza na Bebe wako.
Kazi ipo akifika mshindo mapaja yanakuwaga mazito ghafla...kazi kuzuia Kama alivyosema mdau hapo..
Hiyo Milo miwili...
Kiepe sana...
Nyama nyama...
Tuvitu twa kukaanga kaanga...
Me nimepiga marufuku Ila Mtu ndo anazidi kuwa Tembo.

SEMA downtown Manhattan kunakuwaga Tight alafu Kina Kifupi.
[emoji3531][emoji526] vibonge.
Nimecheka sana huu uzi, eti Downtown Manhattan, au No.10 Downing Street...au The Kremlin, huku wanaita Ikulu ya Magogoni[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mbavu sina!
 
Nimecheka sana huu uzi, eti Downtown Manhattan, au No.10 Downing Street...au The Kremlin, huku wanaita Ikulu ya Magogoni[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mbavu sina!
😂😂😂😂😂 Alafu ikulu Moto huwa hauzimi ,Siyo pachafu ...
Tunapaheshimu sana Ila Dada wake Zetu hawajui.

Nb :Ikulu ni kwa wake Zetu Tuu wengine tunaita..
Mbunye...
Kipochi manyoya..
Pussy...
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom