Changamoto za wake vibonge

Changamoto za wake vibonge

Doggy VP au una kiba100 ... Hilo Ni Swala la kuzungumza na Bebe wako.
Kazi ipo akifika mshindo mapaja yanakuwaga mazito ghafla...kazi kuzuia Kama alivyosema mdau hapo..
Hiyo Milo miwili...
Kiepe sana...
Nyama nyama...
Tuvitu twa kukaanga kaanga...
Me nimepiga marufuku Ila Mtu ndo anazidi kuwa Tembo.

SEMA downtown Manhattan kunakuwaga Tight alafu Kina Kifupi.
[emoji3531][emoji526] vibonge.
Naichukua hii downtown manhattan ila ni wepesi kufika kileleni kuliko tule tu migagi
 
Minyama tu! Anatingisha minyama tu! Akipita minyama tuuu!!
 
ni mke wako,, ulimpenda wewe....but why kuja kumdhalilisha mkeo hapa jamvini.....yes hatukuoni, hatukufahamu......but ni taabia yako maarufu.
hivyo vyote ulivyosema ni hotsoil.......wewe unaweza kuvifanya vikawa furaha zaidi ktk ustawi wa familia yenu....be a man....real man....not boyssss..
 
hilo Changabaridi mkuu we unaliona la moto!? Sioni kero hapo mkuu, umesema "anapenda" hujasema hawezi vile unavyotaka wewe; Shida ipo wapi sasa!? Au lengo lako nikutaka kujua tu wamama wengine mfano wake wanavyoishi? Kila mtu anamtindo wake wa maisha.
Habarini za asubuhi, mke wangu ana uzito wa kilo 101, tumekaa katika mahusiano takribani miaka saba, (7) sijui wenzangu wenye wake wenye uzito mkubwa mnapitia experience nayopata au ni wa kwangu tu?

Changamoto ya kwanza: Akilala saa nne ni mpaka asubuhi hata hageuki wala kuniamsha ni shida kweli nikiwa na ratiba ya kudamka.

Changamoto ya pili: Ni kukoroma akiwa katika usingizi mzito, huwezi kupata usingizi mpaka amalize kukoroma.

Changamoto ya tatu: Akikaa kutizama runinga lazima alalie sofa au anilalie mimi nikiwa karibu nae, ni marufuku kwake kukaa upright kwenye kochi sebuleni.

Changamoto ya nne: Hapendi kula breakfast mapema, anapendelea ale saa tano au sita, alafu hali lunch tena mpaka supper. Anakula milo miwili tu kwa siku.

Changamoto nyingine: Anapendelea missionary style tu (wakubwa mmenielewa) lakini anapenda almost kila siku mchana au asubuhi ila sio usiku wa manane!

Je ni wa kwangu tu au wote wenye unene huo wako hivyo?

Tafadhali karibuni wenye wanene kama wa kwangu tupeane uzoefu na suluhisho la kutatua chang'amoto hizo za wake zetu wapendwa.
 
Back
Top Bottom