rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Hakuna kipindi kigumu kama kuanza kuishi na beki tatu aisee kuna vitu vingi vya kushangaza..tulipata beki tatu toka Iringa picha linaanza tulimwambia apike Uji aisee tutakuta kaweza Chumvi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji33]
Kuna siku tukamtuma sokoni tukamuandikia mahitaji ya kununua sasa kumbe hajui kusoma bhana kwenda sokoni akampa jama kikaratasi amsaidie kununua vitu jamaa likamnunulia vitu vichache hela nyingine likasepa nayo, mdada anarudi home vitu havijatimia na hela hana[emoji23][emoji23][emoji23] ikabdi asema ukweli hajui kusoma kabisa.
Alafu asilimia 80 wanakuwa kama wana matatizo ya kutokusikia vizuri au sijui huwa wanajifanyisha...?
Katika maisha yako ushawahi shuhudia kituko gani cha beki tatu au mlipata ugumu gani kumtrain beki 3???