Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

Maisha yangu yote, kwangu na kwetu sijawahi kuishi na beki tatu ila nilienda kwa rafiki yangu aisee binti alikuwa na vituko yule, mkimaliza kula au kunywa chai anatoa vyombo anaweka kwenye karo anachukua mkeka analala, mtoto akilala nae analala, hajui kujiongeza kila kitu mpaka umtume halafu hasikiii
 
Huwezi amini wala sikumgombeza hiyo siku nilimpigia simu mama nikamwambia.
Mimi nilimuuliza kwanini anampiga mtoto akasema sio yeye ni watoto wenzie wanampiga nikamuuliza tena wakiwa wanampiga unakua wapi maana mtoto hatakiwi kucheza bila wewe kuwepo akakaa kimya.
Hadi kumrudisha kwao alishanifika hapa
Ulikuwa na moyo,hasa hilo la kumfinya mtoto ningekula nae sahani moja

Kulala uvunguni hata akilala chooni hiyo hainipi shida,
 
Maisha yangu yote, kwangu na kwetu sijawahi kuishi na beki tatu ila nilienda kwa rafiki yangu aisee binti alikuwa na vituko yule, mkimaliza kula au kunywa chai anatoa vyombo anaweka kwenye karo anachukua mkeka analala, mtoto akilala nae analala, hajui kujiongeza kila kitu mpaka umtume halafu hasikiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TATIZO LA KUTOKUSIKIA NA MABEKI TATU WOTE
 
Maisha yangu yote, kwangu na kwetu sijawahi kuishi na beki tatu ila nilienda kwa rafiki yangu aisee binti alikuwa na vituko yule, mkimaliza kula au kunywa chai anatoa vyombo anaweka kwenye karo anachukua mkeka analala, mtoto akilala nae analala, hajui kujiongeza kila kitu mpaka umtume halafu hasikiii
Aliichoka kazi
 
Ilibidi nimuulize hivi una nini kichwani au una tatizo la akili? Akaniambia dada hata mimi sijui ila naona tu siko sawa kuna muda natamani niwe kawaida ila sijui kinatokea nini.

Hahahaaa. Boss wake kawa chizi
Yani hawa watu balaa akipata na shosti wa kupiga nae story ndo balaa kazi haziendii... Usiombe ajue kutumia na simu[emoji33][emoji33][emoji24][emoji24]
 
Huyu wangu alieondoka amejuaga kunipa mitihani.
Alikua hajui kuandika
Anampiga mtoto mpaka anamuachia alama na mimi mwanangu ni mweupe sana ukimfinya lazima nione
Unaweza ukamtuma akakuambia siendi
Unaweza mtuma maji akaleta soda
Ukimuuliza kitu hajibu
Nikirudi nyumbani namkuta kajipamba balaa sijui anajipamba kwa ajili ya nani
Siku anaweza akaamua akalala chini ya uvungu wa kitanda.

Nahisi pia alikua na matatizo ya akili
niko mbion kumrudsha kwao yuko hvhv na mm nilie nae japo ananipa uroda ila kaz haziend nahs pia ana matatizo ya akili
 
niko mbion kumrudsha kwao yuko hvhv na mm nilie nae japo ananipa uroda ila kaz haziend nahs pia ana matatizo ya akili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Mkuu wife akijuaa...
 
Sasa mimi sikukaa na mchawi ila nilikaa na mtu anaamini uchawi balaa.
Siku nimeenda kuoga nakuta hirizi chooni nikaichukua nikaiflash.

Tumekaa kama week mbili kaamka kachanwa chale usoni mikononi miguuni na kifuani.
Alipanic mbaya akasema waliochukua hirizi yake ndio waliomchanja. Nikamwambia mi ndo niliyoiokota nikaiflash sikujua kama ni yake.
Kesho yake akaondoka kwenda kwao ikawa kwaheri.

Nimekaa na beki tatuz nyingi sana, ila mmoja ndiyo namkumbuka sana!!

Alikuwa Mchawi, tangu aje tulikuwa hatulali maanina ila wazo la kusema ni yeye halikuwepo kabisaa!!

Karaha huwa sipendi! Nikasema ujinga huu mi mwenyewe mchawi zaidi yake ( japo sikujua kama ni yeye) siku hiyo nikafanya yangu, alilia usiku kucha kumuuliza walia nini akajibu sio yeye anatuchezea ila ni bibi yake anakujaga usiku!!

Nikamwambia bibi yako akija usiku leo uniite niongee nae, hakuja na kesho yake akasepa!!
 
Yani hawa watu balaa akipata na shosti wa kupiga nae story ndo balaa kazi haziendii... Usiombe ajue kutumia na simu[emoji33][emoji33][emoji24][emoji24]
Rafiki yangu ni mpole sasa wasichana wake huwa anawatreat kama wadogo zake, kuna mmoja huyo alikuwa anashika simu anaingia hadi insta, mtu akipiga anapokea....nikamwambia huyo ukimuendekeza atakuja kupokea hadi simu ya boss wako
 
Ukitaka kujua roho ya mtu chunguza muda anao kaa na ma house girl.

Beki 3 kwangu wanakaa sana ila niliteleza kwa beki tatu wangu mmoja tu na niliapa sitorudia tena .. Nilitaka kuwa kama baba wa imani Mzee Ibrahim ila wife alikuja kustukia mchezo akamrudisha kwao yule binti. Namuomba Mungu kila siku anizuie nisje kuwatamani tena hawa wasaidizi wa kazi nyumbani kwangu.
 
Aisee wife alimrudisha bila kukuuliza chochote???
 
Back
Top Bottom