Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Maisha yangu yote, kwangu na kwetu sijawahi kuishi na beki tatu ila nilienda kwa rafiki yangu aisee binti alikuwa na vituko yule, mkimaliza kula au kunywa chai anatoa vyombo anaweka kwenye karo anachukua mkeka analala, mtoto akilala nae analala, hajui kujiongeza kila kitu mpaka umtume halafu hasikiii