Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Teh teh teh hii mada ina vituko
 
3 😀 😀 😀 😀 😀
 
Anachemsha maziwa kwenye jiko la gesi halafu yye anaendelea na kazi zingine kuja kustuka nusu ya maziwa imemwagika.

Yaani huyu wangu changamoto zake ni kwenye jiko la gesi tu ana matumizi yasiyo sahihi.

Nunua mkaa atumie
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulimpa deodorant?
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nadhani usiku kucha anakesha unadhani kwanini mchana asilale
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kazi zakee anafanyaje [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tulikua na beki3 siku vikimpanda hafanyi chochote anaenda kukaa nyuma ya nyumba akiamua kulia analia weeh alafu Ni eneo la wapita njia.

Mmoja alipataga bwana tusipokuwepo home anamuingiza ndani wanalala..anampikia na bado anamfungashia vikorokoro vya kwenda kula kwake.

Huyo mmoja ndiyo alikua ananiachaga hoi ukimtuma anapitia kwa bwana ake anakaa huko hata masaa matatu akirudi mawili atununie au alale.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] njiimu
 
Kuna aliyeondoka ameiba vitu kibao, alisahau kuwa katika stori siku za kwanza alishasema mpaka kijiji anachotoka.

Tulikwenda na polisi kijijini kwao, katika kusearch tulikuta ameiba picha za hubby amezipamba ukutani chumbani kwake.[emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ni mstaarabu mno..hongera kwa hilo
 
All in all nao ni binadam kama wewe, ukiona ana shida unamsaidia na akikosea unamrekebisha bila kejeli!
 
Changamoto nyingine wanakuwaga wana papuchi tamu na za moto kweli!
Ila mimba ni kugusa tu!
 
by that time nilikua napiga wiki5 af wiki 2free au 4 kwa 2
narudi om nkamkuta bek3 mpya alikua hanieshimu nkimwambia kitu hadi wife akazie ndo anafanya
m ni mpole by nature ila kunasiku niliwachenchia wote "nguo zangu hazikutakata af eti wife anamtetea labda alichoka " nilimwita kwa tusi we **** rudia hizi
usiku nkamuuliza we kwenu wapi ilikidin'ga uko "nauli hii apa jiandae kesho safari!!!!


#pia nakumbuka rafiki alioa bek3 ilikua ndo tmeanza kazi sasa ni kijijini mbaya yani 'jamaa akasema anatafuta bek3 palepale kijijini mara baada ya mwezi dem akaamia kota baada ya wiki kadhaa tukatambulishwa shemeji, na jamaa alkua anajitapa awezi kuoa kijijini lkn mwisho ake kaoa bek3 wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…