Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

Huyu bwana alipata na mashosti.
Kiukweli jirani zangu namjua mmoja tu sura yake ila yeye walikua wanamjua nyumba zote.
Akaanza kutumia mpaka mkorogo.
Siku naingia chumbani kwake nakuta kakikopo nafungua nakuta cream
Yani hawa watu balaa akipata na shosti wa kupiga nae story ndo balaa kazi haziendii... Usiombe ajue kutumia na simu[emoji33][emoji33][emoji24][emoji24]
 
ukikaa na house girl muelewe tu tabia zake. Akiwa anakula sana jua chakula chake ni kitambaa na akizoea ataacha.

Kuna mmoja tulimkuta anakaanga mayai sita saa nane usiku. Ni harufu ndiyo ilituamsha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Suala kula sasa aisee...Wew uan uzoefu na hawa watu.. huyu wetu jamani anapige menu aisee yani akianza kulaa balaa mtalionaa...mnaambulia vumbi
 
Wa kwangu anapiga mswaki huku akijitazama kwenye kioo...ana kakioo kake sijui kaja nako kutoka kwao Dodoma!!!😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Suala kula sasa aisee...Wew uan uzoefu na hawa watu.. huyu wetu jamani anapige menu aisee yani akianza kulaa balaa mtalionaa...mnaambulia vumbi
Akizoea ataacha
 
Wa kwangu anapiga mswaki huku akijitazama kwenye kioo...ana kakioo kake sijui kaja nako kutoka kwao Dodoma!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Aisee sasa anajiangali aone nini???
 
Aisee wife alimrudisha bila kukuuliza chochote???

Ulikuwa ugomvi sio wa nchi hii na nilileta mpaka uzi humu kuomba ushauri kwa wanabodi wa JF. Yule binti tulitaka kumpeleka VETA ili akasomee ushonaji lakini kwa tamaa zangu za kijinga nikawa nimemuharibia kabisa sasa. Sasa hivi yupo shinyanga huko kuna jamaa anaishi naye na ameshamzalisha.

Ila huwa najilaumu sana kwa lile tukio mapaka kesho.
 

Hahahah! Eti leo chizi yupo nyumbani.... kilichofuata?
 
Nilipata mwingine alikua ananuka jasho jamani.
Nilikua siwezi hata kukaribisha rafiki zangu nyumbani naona aibu kunavyonuka.
Nikirudi kazini nakaa chumbani tu ila sasa nawaza mwanangu na ile harufu.
Siku nikamuuliza unasikia hii harufu akasema ndio dada, nikamwambia unajua una tatizo la kunuka jasho akasema anajua.
Basi nikamtafutia tiba. Siku 3 tu harufu ikakaata. Kakaa mwenzi kaacha kunuka jasho akaenda kuolewa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sijawahi kukutana na jasho kama lile
 
Daah pole sana mkuu..[emoji24][emoji24][emoji24] bhasi alikuwa mkali mpaka ukarisk hivyo..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hata kusahau jasho nalo kikwazoo...itakuwa alipata mchuchu
 
Hahahahahah halafu utakuta na faza hauzi anapiga deki bila kinyaa...lol!!
 
Ulikuwa unamwamini vipi hadi kumwachia mtoto?
 
Kuna mmoja alikua bek 3 wa anti..daah yani alikua anasinzia kila muda..hasa kipindi cha ibada yani usingizi mpka anakoroma...ila baada ya ibada akianza kuangalia tamthilia zile za kihindi...hahaaa hiyo ni mpka sa9 usiku yupo macho..

Ila kwenye kutosikia vzr nadhani ndio ulemavu wa mabeki tatu wote tz nzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hasikii Ni kiziwi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…