Kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu baada ya kuingia mahakamani ambapo leo anatarajiwa kuendelea kuuliza maswali ya dodoso kwa mashahidi kwenye shauri la kikatiba na 7300/2026 lililofunguliwa Mawakili Kulwa Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo ambao wanalalamikia kuzuiwa kuingia gereza la Ukonga na kushindwa kupata faragha ya mazungumzo na mteja wao(Lissu) walipofanikiwa kuingia.
Baada ya kumaliza dodoso la jana kwa kwa shahidi wa kwanza ambae ni Maduhu leo shauri hilo lililopo mbele ya jopo la Majaji watatu (3) ambao ni Amir Mruma, Dkt. Angelo Rumisha na Dkt. Evaristo Longopa litaendelea kwa maswali ya dodoso pande zote.