TutachangaKauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu baada ya kuingia mahakamani ambapo leo anatarajiwa kuendelea kuuliza maswali ya dodoso kwa mashahidi kwenye shauri la kikatiba na 7300/2026 lililofunguliwa Mawakili Kulwa Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo ambao wanalalamikia kuzuiwa kuingia gereza la Ukonga na kushindwa kupata faragha ya mazungumzo na mteja wao(Lissu) walipofanikiwa kuingia.
Baada ya kumaliza dodoso la jana kwa kwa shahidi wa kwanza ambae ni Maduhu leo shauri hilo lililopo mbele ya jopo la Majaji watatu (3) ambao ni Amir Mruma, Dkt. Angelo Rumisha na Dkt. Evaristo Longopa litaendelea kwa maswali ya dodoso pande zote.
Akili mbuzi kabisa.Kuchangia Chama cha ukombozi kutoka kwa nani!!!
Kama CCM ni wakoloni
Vip Chadema nawao sio Wakoloni wapyaa
Ktk Africa ni wapi Wapinzani waliingia Ikulu na Wananchi wakapata Ukombozi
wakimaendeleo??
Au lengo kumtoa mkoloni na kumwingiza mkoloni mwengine kwa gharama za Wananchi wenyewe ☠️☠️ mwenzenu
Sijala ndio Mkombozi ‼️
au ni Heche uyu uyu 👈
Ni lini CCM ilijiendesha; au unafikiri kuwa mpumbavu ndiko kujuwa?Kama chama kinashindwa kujiendesha chenyewe kiuchumi, kisiasa kitaweza kuendesha nchi?
Asante kwa kunielewezha! Sikujua kama wamefungiwa ruzuku.Lakini kisheria si kina sifa ya kupokea ruzuku? Kwa nini msajili amesitisha kutoa ruzuku kwa CHADEMA na ambayo iko kisheria?
Na wanachama nao ni jukimu lao kuchangia ada ya kadi, tonetone, nk. Na ndiyo maana Mwenyekiti amewakumbusha wanachama na viongozi wenzake.
Ushachangia?Mtaji wa chama ni wanachama wake, wanachama kuchangia chama chao ni wajibu, nchi inaendeshawa kwa kodi, swali jengine tafadhali.
Braza hachokiKauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu baada ya kuingia mahakamani ambapo leo anatarajiwa kuendelea kuuliza maswali ya dodoso kwa mashahidi kwenye shauri la kikatiba na 7300/2026 lililofunguliwa Mawakili Kulwa Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo ambao wanalalamikia kuzuiwa kuingia gereza la Ukonga na kushindwa kupata faragha ya mazungumzo na mteja wao(Lissu) walipofanikiwa kuingia.
Baada ya kumaliza dodoso la jana kwa kwa shahidi wa kwanza ambae ni Maduhu leo shauri hilo lililopo mbele ya jopo la Majaji watatu (3) ambao ni Amir Mruma, Dkt. Angelo Rumisha na Dkt. Evaristo Longopa litaendelea kwa maswali ya dodoso pande zote.
SEVERAL TIMES. Vipi mshikaji naye anachangia huko au anangojea kudaka bk7 tu?Ushachangia?