CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Kuendesha chama.
Kuendesha chama.
Mtaji wa chama ni wanachama wake, wanachama kuchangia chama chao ni wajibu, nchi inaendeshawa kwa kodi, swali jengine tafadhali.Kama chama kinashindwa kujiendesha chenyewe kiuchumi, kisiasa kitaweza kuendesha nchi?
Wewe akili yako ni finyu haina nafasi zaidi ya kutafsiri zaidi ya ujazo wako.Ungejituliza tu kama kasuku.Kuchangia Chama cha ukombozi kutoka kwa nani!!!
Kama CCM ni wakoloni
Vip Chadema nawao sio Wakoloni wapyaa
Ktk Africa ni wapi Wapinzani waliingia Ikulu na Wananchi wakapata Ukombozi
wakimaendeleo??
Au lengo kumtoa mkoloni na kumwingiza mkoloni mwengine kwa gharama za Wananchi wenyewe ☠️☠️ mwenzenu
Sijala ndio Mkombozi ‼️
au ni Heche uyu uyu 👈
BRAVO,Hasta la vista simpre!Tayari mkuu nimechangia mkuu, ila nitachangia tena maana hiki chama ni chetu sote hata ccm watakihitaji tu siku moja
PEOPLES' POWERNaingia mpesa
Lakini kisheria si kina sifa ya kupokea ruzuku? Kwa nini msajili amesitisha kutoa ruzuku kwa CHADEMA na ambayo iko kisheria?Kama chama kinashindwa kujiendesha chenyewe kiuchumi, kisiasa kitaweza kuendesha nchi?
Kuchangia Chama cha ukombozi kutoka kwa nani!!!
Kama CCM ni wakoloni
Vip Chadema nawao sio Wakoloni wapyaa
Ktk Africa ni wapi Wapinzani waliingia Ikulu na Wananchi wakapata Ukombozi
wakimaendeleo??
Au lengo kumtoa mkoloni na kumwingiza mkoloni mwengine kwa gharama za Wananchi wenyewe ☠️☠️ mwenzenu
Sijala ndio Mkombozi ‼️
au ni Heche uyu uyu 👈
Kama utakuwa na akili timamu, huwezi kufananisha CHADEMA ambayo haijashika dola na CCM inayotumia kodi zako kukandamiza haki zako.Kuchangia Chama cha ukombozi kutoka kwa nani!!!
Kama CCM ni wakoloni
Vip Chadema nawao sio Wakoloni wapyaa
Ktk Africa ni wapi Wapinzani waliingia Ikulu na Wananchi wakapata Ukombozi
wakimaendeleo??
Au lengo kumtoa mkoloni na kumwingiza mkoloni mwengine kwa gharama za Wananchi wenyewe ☠️☠️ mwenzenu
Sijala ndio Mkombozi ‼️
au ni Heche uyu uyu 👈
Naomba kuelimishwa, mi nlidhani ruzuku ni kwa chama kilichoshiriki uchaguzi tu!...Lakini kisheria si kina sifa ya kupokea ruzuku? Kwa nini msajili amesitisha kutoa ruzuku kwa CHADEMA na ambayo iko kisheria?
Na wanachama nao ni jukimu lao kuchangia ada ya kadi, tonetone, nk. Na ndiyo maana Mwenyekiti amewakumbusha wanachama na viongozi wenzake.
Tayari mkuu nimechangia mkuu, ila nitachangia tena maana hiki chama ni chetu sote hata ccm watakihitaji tu siku moja
Kama utakuwa na akili timamu, huwezi kufananisha CHADEMA ambayo haijashika dola na CCM inayotumia kodi zako kukandamiza haki zako.
Weka Ushahidi apa kama kweli umetuma japo 1000 tu tuone
Nyie lengo lenu kuwadanganya watoto 😂
Weka Ushahidi❗️
Hapa ndipo nimekuona akili hauna, ina maana kama marafiki zako walifeli mtihani, hiyo inamaanisha na wewe ukifanya mtihani utafeli?Ungekuwa na Akili usingejibu ulichojibu👈
Ungeelewa maana je ni wapi Wapinzani wamechukua Utawala na Wananchi wakakombolewa kiuchumi!!!! ??
Sisi Tanzania hatutaki kujutia ndiomana👈
tunataka kwanza tuone kwengine uko Je baada ya Upinzani kushika Serikali kuna mafanikio yoyote kwa Wananchi jibu
Kote ni O
Zambia
Kenya
Malawi
Nk.
Raia wao bado masikini 👈
Kenya ndio kwanza maandamano kila Uchao‼️
kiasi tofauti ya chama Tawala na chama cha Upinzani
Hawaiyoni mifukoni mwao !!
Lakini kisheria si kina sifa ya kupokea ruzuku? Kwa nini msajili amesitisha kutoa ruzuku kwa CHADEMA na ambayo iko kisheria?
Na wanachama nao ni jukimu lao kuchangia ada ya kadi, tonetone, nk. Na ndiyo maana Mwenyekiti amewakumbusha wanachama na viongozi wenzake.