Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Leo nimeamini Chanika ilipaswa iwe mkoa wa Pwani.

Angalia picha inajieleza kabisa
IMG_3694.jpeg
IMG_3693.jpeg
 
Si kweli

Ni umbali wa kawaida sana Kijiografia kutoka city center kwenda Chanika

Mimi huwa nashangaa sana wanaosema Chanika ilitakiwa iwe mkoa wa Pwani.

Kamkoa kenyewe ka Dar kadogo bado watu wanataka kukadogesha.


 
Back
Top Bottom