#COVID19 Chanjo milioni moja hazijaisha tu?

Huwa najiuliza sana,majirani zangu,kazini kwangu,marafiki zangu wote tunakutana kila siku, kwenye magroup ya wasap n.k

Sjawahi sikia mtu kafa kwa huu upuuzi...aisee wamefeli vibaya sana
 
Daah..chanjo zimedoda yani mpaka jana wanechanja watu laki tatu...watoe pesa kuwa motivate wabongo

#MaendeleoHayanaChama
 
Nimependa hilo neno lako la milooni!😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Mpaka juzi ni watu laki 3 wamechanjwa. Hata hizo timu wanazosema ni geresha tu. Hao manesi ndio kabisa wamegomea kuchanjwa. Duniani kote kuna maandamano ya kugomea hizo chanjo. Wanaozipigia kampeni ni wale waliochanjwa ili muingie kwenye kapu moja
 
Hata nusu bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…