#COVID19 Chanjo milioni moja hazijaisha tu?

#COVID19 Chanjo milioni moja hazijaisha tu?

Watu wanataka maji na barabara. Waondolewe makodi ya "ajabu ajabu". Haya mengine ni kukosa focus tu kama taifa
Umeongea point kubwa Mkuu... Korona hipo na inauwa, lakini kama taifa tuna matatizo chungu nzima yanayoumiza watanzania Zaidi hizi propaganda za korona
 
Huenda zimeexpire ndo maana zimewekewa motisha kuingia bure uwanjani ili wakudunge JJ,lolote likikupata wanakwambia tulimaoiza na wewe uwanjani.
 
Back
Top Bottom