mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Usiwapumbaze watu wenye umri mkubwa, wahamasishe waende wakachanje, Corona huwa inaondoka na watu wenye umri mkubwa Mara nyingi, kwani hujui hivyo?Chanjo zimewadodea, sasahivi Watanzania sio mapompoma tena,hao mawaziri wawadunge watoto wao,huku kwetu mtaani corona tunaisikia redioni na kwenye matangazo ya tv,sasa nidungwe sumu za nini, wakati corona tangu imeingia sijawai kutana na mgonjwa wa corona,hata mtaani kwangu sijawai kusikia kifo cha mgonjwa wa corona.R.i.p Magufuri kwa kutuambia ukweli,hata ifike wimbi la kumi atuogopi