UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kutokufa kama zamani na corona kuwa sio issue tena ni vitu viwili tofauti sijui kama unaelewa?Umesikia wanakufa kama zamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokufa kama zamani na corona kuwa sio issue tena ni vitu viwili tofauti sijui kama unaelewa?Umesikia wanakufa kama zamani?
Kwahiyo nawewe unataka kupapaswa tako uchomwe?Mbaya zaidi watumishi wa afya ndiyo hawataki hata kuisikia hii chanjo
Umeongea point kubwa Mkuu... Korona hipo na inauwa, lakini kama taifa tuna matatizo chungu nzima yanayoumiza watanzania Zaidi hizi propaganda za koronaWatu wanataka maji na barabara. Waondolewe makodi ya "ajabu ajabu". Haya mengine ni kukosa focus tu kama taifa
Acha fikira potofuKwahiyo nawewe unataka kupapaswa tako uchomwe?
Kama anaouhakika atujie na. Ushahidi hapa vinginevyo anastahili kuhojiwa.Huogopi kuitwa kuhojiwa eeh,wewe endelea kusema ukweli.
Nyie ndo mnaitwa wapotoshaji.