Chanjo ya COVID-19: Hivi wataalam hamjui ukweli au mmeamua kumpotosha Rais?

sasa unata kuwaambukize wengine?
Aliyekwambia mtu asiyechanjwa ugonjwa fulani lazima awe na huo ugonjwa na akawaambukize wengine.......na nani aliyekwambia ukichanjwa ugonjwa huwezi kuupata, muwe mnauliza basi kama hamjui lolote kuliko kujiaibisha.
 
Aliyekwambia mtu asiyechanjwa ugonjwa fulani lazima awe na huo ugonjwa na akawaambukize wengine.......na nani aliyekwambia ukichanjwa ugonjwa huwezi kuupata, muwe mnauliza basi kama hamjui lolote kuliko kujiaibisha.
Haya basi nenda ulaya basi bila kupima korona tukujue wewe mwanaume.
 
Nasikia kwamba hata kama umechanjwa, hii covid awamu ya tatu haiangalii makunyanzi.
 
Nasikia kwamba hata kama umechanjwa, hii covid awamu ya tatu haiangalii makunyanzi.
Kuna watu ni mbumbumbu sana, wameaminishwa kwamba hizo chanjo zitawakinga na kifo. Kule ambako karibu kila mtu amechanjwa wanaugua na kufa vilevile na vifo vingine ni kutokana na madhara ya chanjo yenyewe......
 
Itabidi udungwe tu mkuu, usikose ka harufu ka ulaya...
Mara mbili (mara moja nilifanikiwa kuiona timu yang pendwa Mn United ikicheza pale OT) zinanitosha kama kwenda ni lazima nichome sindano zao hizo.Mi ninaogopa sana hizi ma kitu boss
 
Hali ni tete ndugu zanguni. Watu wanapoteza life, hili gonjwa msilichukulie poa. Tujihadhari, kumbi za harusi, sherehe za aina yoyote tuepukane nayo bandugu. Mkitaka kujua ukweri nendeni hospitalini mukajionee hali inatisha bandugu.
Hali tete kvp hebu elezea hali ikoje?
 
Hii ni biashara ya lazima! Mabeberu walishaingia gharama kubwa sana katika utafiti na utengenezaji wa chanjo hiyo na wanalazimisha ili kurejesha pesa zao na kupiga faida ya kufa mtu! Kiukweli chanjo yenyewe imedhihirika KUTOKUFANIKIWA! Kwa kawaida chanjo inapaswa kuzuia maambukizi. Lakini hii chanjo ya corona haizuii maambukizi!! Kwa hiyo ikatafutwa lugha ya kuzuga! Wakadai haizuii maambukizi bali inapunguza uwezekano wa kuugua kiasi cha kulazwa hospitalini!! Huu ni uongo!! Bali ni ukweli ni kuwa watu walio wengi wakiambukizwa hawalazwi hospitalini bali hupona bila hata kujua kama walikuwa na maambukizi ya corona. Sasa chanjo nii ya magumashi inataka kudandia sifa kwenye ukweli huu!!
 
Mababeru ni wajanja wajanja sana, wapo radhi kutoa hiyo dawa wanayoita chanjo bure hata dozi tatu za mwanzo ili wavuruge mfumo asili wa kinga ya mapafu kwa watu, jambo ambalo litawafanya waishi kwa kutegemea chanjo........ikifika hapo ndo beberu ataanza kuvuna pesa....
 

Omusolopogasi
 
Nimepitia comments.. Nimegundua Watz wengi bado vipofu...... Mtz unaweza mwonyesha njia sahihi ya kupita lakini akaja mtu back huko sio kwa neno tu na akamwamini na akamtukana yule aliye mwonyesha njia sahihi
 
Kuchanja ni hiari, lakini tunalazimishwa kupitia kampeni kali inayo endeshwa na watawala. Watawala wanaeleza uzuri tu wa chanjo, ubaya wake hawasemi, nawe utaitwa mhaini ukielezea mabaya ya chanjo.
 
Wataalamu walijua mzigo ukiiingia fedha za semina, makongamano lazima wazipige.
Maisha ya wananchi si kitu kwao.
 
Wewe ni Dr. Wa masuala gani? Isije ikawa ni mataga alielishwa tango na mwendazake
We mnenguaji unasemaje maana maandishi hayo yametoka marekani na sio kwa mwendazake wala mataga.

Red gaga mwanamziki wa huko marekani anasema kuna lafiki wa binam yake kachoma sindano na kupoteza nguvu za kiume na sasa ndoa aliyokua anataka kufunga na mchumba wake imekoma
Sasa hapo ni mataga au?
 
Hu
Wale wa chanjo tazameni hii
Huyu jamaa alikuwa amechanjwa. Hata kwenye clip kuna sauti ya mtu anayemfahamu akiss a "alikuwa amechanjwa" huyu!! Mwingine akaongezea hoja: "kama alikuwa amechanjwa isisikike popote". Ila Mungu alivyo mwema tumevisikia vyote!!! Halafu unategemea nisikilize upuuźi wako kuhusu chanjo, utasubiri sana na unajua hivyo!!
 
Kuchanja ni hiari, lakini tunalazimishwa kupitia kampeni kali inayo endeshwa na watawala. Watawala wanaeleza uzuri tu wa chanjo, ubaya wake hawasemi, nawe utaitwa mhaini ukielezea mabaya ya chanjo.
Watanzania wengi ni elimu duni including wewe kamwamu na eventually uwezo wa kuchambua ukweli na uwongo ni mdogo. Japo chanjo ni hiari, Serikali imefanya vizuri kwenye kuwekeza kwenye elimu na ugharibishi wa umuhimu na usalama wa chanjo. Lengo nikuwa wa kuelewa waelewe.

Mkiamua kutochanja iwe ni juu yenu na siyo Serikali ilaumiwe kwa kutotoa elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…