mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
E
Elimu mfu!! Wenye hiyo elimu wa akufa kila siku kwa corona. Jana pekee huko marekani wamekufa kwa corona zaici ya watu 1900!! Maambukizi mapya ya corona ni zaidi ya laki moja kwa jana tu!! Hak ndio walimu wa walimu!! Elimu isiyoweza kusaidia nenda ukafe nayo mbele!! Iko kwenye rekodi Tanzania tuliponywa na Mungu!! Ndio maana uko hai hivi leo na watoto wako hawajafungiwa shule na vyuo tena!!Watanzania wengi ni elimu duni including wewe kamwamu na eventually uwezo wa kuchambua ukweli na uwongo ni mdogo. Japo chanjo ni hiari, Serikali imefanya vizuri kwenye kuwekeza kwenye elimu na ugharibishi wa umuhimu na usalama wa chanjo. Lengo nikuwa wa kuelewa waelewe.
Mkiamua kutochanja iwe ni juu yenu na siyo Serikali ilaumiwe kwa kutotoa elimu.