Utawaona wapi mkuu...ama utaletewa takwimu na ofisi za serikali...kila la heriSawa. Usichanje. Wanaotaka waache wachanje.
Halafu tuangalie watakaokufa zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawaona wapi mkuu...ama utaletewa takwimu na ofisi za serikali...kila la heriSawa. Usichanje. Wanaotaka waache wachanje.
Halafu tuangalie watakaokufa zaidi.
Watu wanakufa kila siku mkuu.Utawaona wapi mkuu...ama utaletewa takwimu na ofisi za serikali...kila la heri
Kaka si vile unavyosema. Mbona unatumia lugha ya uvumi?? "nchi zingine wataalamu wameomba zistop... ni wanasayansi wa nchi za ulaya".Kwani mkuu wamekwambia ukichanjwa hautaugua tena Corona...
Ukipata maambukizi utaugua na hio chanjo yako inaweza ikawa tatizo kwako vile vile madhara yapo ya papo kwa papo na mengine ni ya muda mrefu ndio maana nchi zingine wataalamu wameomba zistop kwanza nasisitiza sio Magufuli alioomba chanjo istop kwanza ni wanasayansi wa nchi za ulaya...ila tofauti ni kwamba Magufuli aliwatangulia kusema na wao wakafuata
Takwimu za watu waliopatwa na madhara ya chanjo inasemekana ni nyingi kuliko zinazotangazwa ...
Ni kwa sababu hujaipata Corona ndio unaropokwa hiviMarais waliopata chanjo msisanganyike kuwa ile ni chanjo, ni danganya toto mbele ta camera ili watu waamini haina madhara.
Hakuna raisi achome haya ma chanjo yasioeleweka.wanachoma dawa nyingine kuhamasisha watu wapate chanjo ili wao watimize mashart waliopewa.
Unatamba kwa vile hujaipata Corona wala Hakuna jamaa yako aliipata, siku mtakapopambana ndipo utaitafuta Kama Lulu baharini, Time Will tell youUkweli unaweza TOKA hata ktk kinywa cha mwendawazimu sembuse form6, tulieni mkapange foleni mchanjwe mridhishe vichwa vyenu vya panzi
Imenitandika haswaaaa mwaka Jana mwezi wa5,Na nilikua nakaa home MAWAZO tele najificha Yani kuna siku nilikua nadondoka nakosa pumzika kabisaa,Brothernilivyoanza kudhurula mara Tabatha,mikocheni mpaka Mbagala kuona jinsi watu wanavyojichanganya believe me ndani ya week2 namshukuru Allah nilikaa sawa sanaaaa.Unatamba kwa vile hujaipata Corona wala Hakuna jamaa yako aliipata, siku mtakapopambana ndipo utaitafuta Kama Lulu baharini, Time Will tell you
Kiongozi uko vizuri sana katika ufuatiliaji, hasa kwa namna ulivyoandika mada yako. Lakini niseme labda kwa bahati mbaya umejikitika kwenye upotoshaji zaidi.Habari ndugu wanaJF,
Jana kwenye mkutano wa rais na wanahabari nilimsikia akiongea confidently kuhusu kuagiza na kuanza kutumia chanjo za covid. Ieleweke kwamba hizo chanjo zilitolewa kwa dharura bila conclusive data za kitafiti na baadhi ya madhara ya muda mfupi yaliyokwishatokea ni kuganda kwa damu (blood clots), kushuka kwa kiwango cha chembechembe nyeupe za damu zinazohusika na kuganda kwa damu 'platelets' na kusababisha tatizo linalojulikana kitaalamu kama 'thrombocytopenia' matatizo ya mzio 'autoimmunity' ambapo chembe chembe za kinga zinashambulia viungo vya mwili na hii ikitokea kwenye viungo muhimu kama figo, ini na ubongo inaweza kupelekea vishindwe kabisa kufanya kazi 'organ failure'.
Hivi karibuni shirika la kuthibiti magonjwa la marekani CDC limeripoti kuongezeka kwa cases zinazoonyesha athari kwenye misuli ya moyo 'myocarditis' na hata kwenye kiwambo kinachozunguka moyo 'pericarditis' kwa vijana na watoto waliochanjwa chanjo ya korona inayotumia teknolojia ya mRNA. Pia, uchambuzi wa kitaalamu uliotolewa hivi karibuni umeonyesha ndani ya masaa 48 kibebeo cha chanjo inapodungwa mwilini 'lipid nanoparticles' kimeonekana hasa kwenye vifuko vya mayai kwa wanawake 'ovaries' na kwenye uboho wa mifupa 'bone marrow' jambo ambalo siyo la kawaida na linaweza kusababisha shida za uzazi kwa akina mama na matatizo ya kansa za damu 'leukemias' 'lymphomas' na ukizingatia hizi shida za kansa, madhara ya uzazi na hata mzio 'autoimmunity' zinaweza kuchukua muda mrefu hata miaka zaidi ya mitatu kudhihirika.
Je, wataalamu wamemshauri rais kwa kuzingatia utaalamu na up-to-date information zinazotolewa kuhusu madhara ya hizo chanjo? au wameamua tu kutoa ushauri unaoendeshwa na upepo wa ngoma inavyochezwa huko duniani kuhusiana na huu ugonjwa wa covid.
Mimi ningeshauri zitumike zaidi njia za kujikinga badala ya kuhimiza kampeni za chanjo ambayo ipo kwenye utafiti, kwa sababu ukishachanja hakuna namna ya kuondoa hiyo chanjo mwilini, kinachobaki inakuwa ni kupambana na madhara yanayoweza kutokea ndani ya muda mfupi, muda wa kati au muda mrefu.
Nawasilisha.
Mkuu haya maneno ni blah blah tu, hizo chanjo hazijakamilisha hatua zake za utafiti na majaribio......wajanja wanapiga pesa mapema, madhara yatakayojitokeza hayawahusu.Kiongozi uko vizuri sana katika ufuatiliaji, hasa kwa namna ulivyoandika mada yako. Lakini niseme labda kwa bahati mbaya umejikitika kwenye upotoshaji zaidi.
Kwa kawaida dawa/chanjo za aina zote hazikosi madhara kwa watumiaji. Kitaalamu sindano ndio njia salama zaidi ya kimatibabu/kinga kuliko kumeza vidonge, je umefuatilia madhara ya dawa zinazotajwa ni salama kwa matumizi ya binadamu jinsi zinavyo haribu ini/figo? Kwa mfano asilimia kubwa ya madawa yanayotibu baadhi ya saratani ni sumu mbaya sana mwilini, wakati wa matumizi mtumiaji anapoteza nywele zote kichwani na kubaki kipara, na wakati wa matumizi ama baada ya matumizi maini na figo za mtumiaji wa madawa hayo zitahitaji kutibiwa/kusafishwa, bila ya hivyo mtu ndio kwishney.
Tukija kwenje chanjo za corona ni kweli kuna madhara ambayo yamepelekea hata vifo kwa wengine, na madhara ni mengi yakiwemo na uliyo yataja kwenye mada yako.
Lakini kuna wakati wataalamu wanagundua madhara baada ya dawa/chanjo kutumika. Baada ya kugundulika madhara kwenye chanjo za corona, wameweka utaratibu wa kukupatia orodha ya madhara unayo weza kuyapata kabla hujachomwa sindano ya chanjo, na pia hatua za kuchukua ukiona dalili yoyote kati ya zile walizo orodhesha kwa sababu ni athari ambazo zinatibika.
Kwa kuwa wataalamu wamesha ligundua hilo ndio maana serikali zimeliweka suala la chanjo ya corona ni hiyari ya mtu kuchagua kuchoma ama kuto kuchoma.
Kwa mantiki hiyo Raisi hawezi kukurupuka kwa jambo zito kama hilil, ni wazi amesha elezwa na wataalamu kuhusiana na chanjo ya corona.
Hivyo acheni Raisi alete chanjo na kila mtu awe na maamuzi yake.
Kaka usiite maelezo blabla kama mwenyewe huna kitu cha kuonyesha. Sema chanjo kipi haikukamilisha hatua zake? Onyesha kama unajua kitu kuna hatua gani? Watu wangapi wa aina gani (kiumri, kihali...) wanatakiwa kupewa majaribio na matokeo yalikuwaje??Mkuu haya maneno ni blah blah tu, hizo chanjo hazijakamilisha hatua zake za utafiti na majaribio......wajanja wanapiga pesa mapema, madhara yatakayojitokeza hayawahusu.
Kaka si vile unavyosema. Mbona unatumia lugha ya uvumi?? "nchi zingine wataalamu wameomba zistop... ni wanasayansi wa nchi za ulaya".
Si kweli. Sema: Nchi gani, nani (wana majina), tarehe gani? Marejeo? Kuhusu chanjo gani??
Magu alipinga chanjo kwa ujumla.
Simjui mtaalamu wa Ulaya anayepinga chanjo za Corona kwa ujumla. Hayupo.
Wamewahi kujadili matumizi maalumu kwa chanji hiyo au hiyo.... Unaweza kufuatilia (ukitafuta habari mwenyewe) majadiliano kama astra zeneca inafaa kwa vijana, hasa wanawake..... Au kama Biontech inafaa kwa watu wenye matatizo maalumu ya afya..... au kama chanjo fulani inakinga kweli au kwa kiasi gani... au kama inafaa kwa aina mpya za Covid-19, hasa aina ya Delta...
Lakini yale unayodai - hayakutokea!
"hizo chanjo hazijakamilisha hatua zake za utafiti na majaribio".Mkuu haya maneno ni blah blah tu, hizo chanjo hazijakamilisha hatua zake za utafiti na majaribio......wajanja wanapiga pesa mapema, madhara yatakayojitokeza hayawahusu.
Sawa ndugu mjuaji, endelea na mishe zako......nilichokiandika kwenye bandiko ndo hicho....Kaka usiite maelezo blabla kama mwenyewe huna kitu cha kuonyesha. Sema chanjo kipi haikukamilisha hatua zake? Onyesha kama unajua kitu kuna hatua gani? Watu wangapi wa aina gani (kiumri, kihali...) wanatakiwa kupewa majaribio na matokeo yalikuwaje??
Mimi nimeangalia namba hizo kwa chanjo kadhaa nimeridhika.
Sina uhakika kama unajua unachojadili.
Bila shaka. Asiye na maelezo hupendelea matusi.Sawa ndugu mjuaji, endelea na mishe zako......nilichokiandika kwenye bandiko ndo hicho....
Kwani umelazimishwa kuchoma. Hutaki achaHabari ndugu wanaJF,
Jana kwenye mkutano wa rais na wanahabari nilimsikia akiongea confidently kuhusu kuagiza na kuanza kutumia chanjo za covid. Ieleweke kwamba hizo chanjo zilitolewa kwa dharura bila conclusive data za kitafiti na baadhi ya madhara ya muda mfupi yaliyokwishatokea ni kuganda kwa damu (blood clots), kushuka kwa kiwango cha chembechembe nyeupe za damu zinazohusika na kuganda kwa damu 'platelets' na kusababisha tatizo linalojulikana kitaalamu kama 'thrombocytopenia' matatizo ya mzio 'autoimmunity' ambapo chembe chembe za kinga zinashambulia viungo vya mwili na hii ikitokea kwenye viungo muhimu kama figo, ini na ubongo inaweza kupelekea vishindwe kabisa kufanya kazi 'organ failure'.
Hivi karibuni shirika la kuthibiti magonjwa la marekani CDC limeripoti kuongezeka kwa cases zinazoonyesha athari kwenye misuli ya moyo 'myocarditis' na hata kwenye kiwambo kinachozunguka moyo 'pericarditis' kwa vijana na watoto waliochanjwa chanjo ya korona inayotumia teknolojia ya mRNA. Pia, uchambuzi wa kitaalamu uliotolewa hivi karibuni umeonyesha ndani ya masaa 48 kibebeo cha chanjo inapodungwa mwilini 'lipid nanoparticles' kimeonekana hasa kwenye vifuko vya mayai kwa wanawake 'ovaries' na kwenye uboho wa mifupa 'bone marrow' jambo ambalo siyo la kawaida na linaweza kusababisha shida za uzazi kwa akina mama na matatizo ya kansa za damu 'leukemias' 'lymphomas' na ukizingatia hizi shida za kansa, madhara ya uzazi na hata mzio 'autoimmunity' zinaweza kuchukua muda mrefu hata miaka zaidi ya mitatu kudhihirika.
Je, wataalamu wamemshauri rais kwa kuzingatia utaalamu na up-to-date information zinazotolewa kuhusu madhara ya hizo chanjo? au wameamua tu kutoa ushauri unaoendeshwa na upepo wa ngoma inavyochezwa huko duniani kuhusiana na huu ugonjwa wa covid.
Mimi ningeshauri zitumike zaidi njia za kujikinga badala ya kuhimiza kampeni za chanjo ambayo ipo kwenye utafiti, kwa sababu ukishachanja hakuna namna ya kuondoa hiyo chanjo mwilini, kinachobaki inakuwa ni kupambana na madhara yanayoweza kutokea ndani ya muda mfupi, muda wa kati au muda mrefu.
Nawasilisha.
Wajasiliamali wa injili hamkosi😅😅Toa uongo aako hapa.THE LORD JESUS CHRIST ANSWER QUESTIONS ABOUT THE CO¹⁹VACCINE AND THE RADIO FREQUENCY IDENTIFICATION 666 CHIP(RFID)
END TIME PROPHETIC NEWS!
Don't miss to read this, it is agent and helpful, share to your local groups.
BY SISTER HAPPINESS AIBANGBEE. DEC. 24TH, 2020.
A brother sent this video to me through WhatsApp. I was petrified, as I watched it. I tried searching for it online through google, but it seems it has been pulled down. So to be sure of it's authenticity, I decided go to the Lord and inquire of him about the video. Here's what the Lord said: " Daughter, that girl took the vaccine and everything they are saying there ( in the video) is true." The Lord Jesus Christ continued:
" But daughter emphasize that the vaccine is not the mark of the beast ( which I've explained in my previous post ) Any body that takes the vaccine will be changed. The person's connection with God will be cut off. The person will have a bond with satan. And when the rfid microchip comes, the person ( who received the vaccine ) can never refused the rfid microchip. That is the work of the vaccine. The vaccine is the precursor to the mark of the beast."
THE DIFFERENCE BETWEEN THE CORONAVIRUS VACCINE AND THE RFID MICROCHIP.
The Lord said: " While the coronavirus or covid 19 vaccine will change a person's DNA (to that of the beast,) the rfid microchip will change the person entire being, the image of the person will be transform from that of God to that of the devil" At this juncture, I began to ponder on some of the issues I needed the Lord to clarify.
1. CAN A PERSON REPENT AFTER TAKING THE
CORONAVIRUS VACCINE ?
The Lord explained: " Once a person takes the vaccine, there will be no repentance. The person's connection with God has been cut off and cannot be fixed back. The person will be doomed for the lake of fire. No matter how much the person cry for mercy there will be no mercy "
2. WHAT IS THE POSITION OF A PERSON WHO HAVE RECEIVE THE CORONAVIRUS VACCINE, BUT HAVE NOT RECEIVE THE RFID MICROCHIP, IF HE DIES, WILL HE MAKE HEAVEN ?
The Lord said : " A person who have received the coronavirus vaccine, but haven't received the rfid microchip, if he dies, will still end up in the lake of fire, because taking the vaccine is just like taking the mark of the beast. This is because, when you take the vaccine you can never refused the mark of the beast." The Lord Jesus Christ went on to say; Anyone that takes the vaccine, there is no repentance for that person, that soul is already doomed for the lake of fire." The Lord concluded: " Daughter that is why I want you to continue this work, of posting these revelations" The Lord was very sorrowful as he explained these things.
There you have it. I don't think I have anything to add . More videos are coming out which will encourage believers to go ahead and accept the vaccine and the rfid microchip. They will tell you not to listen to anyone who is saying you shouldn't take them. Once again, I sincerely plead with you to stand your ground, don't let any one decieve you into making this irreversible blunder that will cost you your eternal life. Know this for sure, you can't be rapture with the vaccine in your system or with the mark of the beast in your hand or forehead.
A word is enough for the wise. Be careful, be very careful.
God bless you.
Shalom.
Jamani!!! Kumbe sheitani ameendelea pia, siku hizi ana DNA?? Safi!THE LORD JESUS CHRIST ANSWER QUESTIONS ABOUT THE CO¹⁹VACCINE AND THE RADIO FREQUENCY IDENTIFICATION 666 CHIP(RFID)

Mkuu kama ukiambiwa bila kuchoma hupandi ndege, huko siyo kulazimishana.....Kwani umelazimishwa kuchoma. Hutaki acha