Chanjo ya COVID-19: Hivi wataalam hamjui ukweli au mmeamua kumpotosha Rais?

E Elimu mfu!! Wenye hiyo elimu wa akufa kila siku kwa corona. Jana pekee huko marekani wamekufa kwa corona zaici ya watu 1900!! Maambukizi mapya ya corona ni zaidi ya laki moja kwa jana tu!! Hak ndio walimu wa walimu!! Elimu isiyoweza kusaidia nenda ukafe nayo mbele!! Iko kwenye rekodi Tanzania tuliponywa na Mungu!! Ndio maana uko hai hivi leo na watoto wako hawajafungiwa shule na vyuo tena!!
 
Kwanini wamekubali na kuridhia haraka mabadiliko ya matumizi ya fedha za kununua chanjo za UVIKO-19?

Jiulize, kujenga miundo mbinu ya maji ya kunawa, kujenga madarasa na vituo vingi vya afya kuhudumia waathirika wa Uviko-19, je aina ya vimelea wakibadilika baada ya miezi sita kuanzia sasa hapo si wanajua manufaa ni machache kwa kuwa wengi wataathirika?

Inatakiwa kwenye kampeni manufaa na hasara za chanjo zielezwe bayana kwa kuhamasisha maamuzi yaliyo sahihi (Coercion must be avoided at all costs).
 
Huo ujinga peleka kwenye makanisa yenu huko na Gwajima.
 

Ninakazia: "Hata jiwe aliponywa na Mungu ndiyo maana yuko hai leo na wanawe hawajafungiwa shule na vyuo tena!!"
 

Umeenda kuokota yanayofurahisha nafsi yako na kwa makusudi unayatumia ili kupotosha watu.

1: Hayo mambo yalipotokea na kutambuliwa review zake zilitoa majibu gani?

2: Ni hatua gani zilichukuliwa ili kurekebisha chochote kilichoonekana, haya hukuyaona huko?

3: Ni mlinganyo upi utautumia kati ya anaechanja na kupata shida ulizotaja dhidi ya yule anaepata UVIKO na kupata shida husika?

4: Katika maisha ya kawaida ni watu wangapi hupata matatizo husika bila uwepo wa UVIKO au chanjo ya UVIKO?
 
Naona tunaogopa zaidi chanjo kuliko maambukizi halisi ya virusi vya korona.

Hivi ungepata nafasi umshauri kitaalamu Mh. Rais ungemwambia nini kuhusu tofauti ya mRNA iliyotengenezwa na binadamu na ile ya kirusi halisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…