Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Mbona umeiacha Pfizer na Moderna? ua kwakua unajua hakuna anaye zilalamikia chanjo hizo za Marekani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We have to learn and continue living with Corona while continuing extensive and more research so as to come up with quality vaccines that are safe and efficacious.Kwa hakika maradhi ya corona yameutikisa ulimwengu pakubwa sana. Kama ilivyo kwa maradhi yenyewe kutokueleweka vyema, pia na chanjo zake zimekuwa za kubahatisha sana kiasa kwamba tunaweza tukaziita chanjo za ovyo.
Chanjo 4 kubwa ndizo ambazo zimeshatangazwa na kuuzwa nje ya nchi zilikotengenezwa.
1. Astrazeneca ya Oxford-Uingereza: Zimetajwa kugandisha damu kwa baadhi ya wallochanjwa. Nchi kadhaa zimewahi kusitishwa halafu wakafungulia. Leo Denmark wamesitisha kabisa na kusema hawana haja nazo tena.
2. Sinovic ya China: Nchi ya mwanzo kununua na kutumia ni Brazil. Inasemekana maambukizi nchini humo kila siku yanaongezeka na juzi China imekiri chanjo hiyo ina ufanisi mdogo sana kiasi cha asilimia 50 tu.
3. Johnson & Johnson ya Marekani: Jinsi inavyotengenezwa kutumia mimba changa imepingwa na wengi na hata ufanisi wake nao una mashaka.Marekani kwenyewe na nchi kadhaa wamesitisha.
4. Sputnik ya Urusi: Haijasikika sana. ufanisi na shida zake hazijawekwa wazi.
Hali zote hizo ni miezi michache tu tangu kuanza kutumika kwa chanjo kuzuia corona.Haijulikani hali itakuwaje kwa waliochanjwa huko mbele
View attachment 1751923
Watu wanatoa mawazo yao kuhusu chanjo haijalishi Tz pia kuna chanjo au hakuna, kwani mbona watu walitoa mawazo yao kuhusu ile dawa ya corona ya Madagascar.Sasa mnajifaragua nyie mna chanjo gani vitoto vijijin huko vimevimbiana kwa magonjwa?shenji
Nani anawaziba mdomo?Watu wanatoa mawazo yao kuhusu chanjo haijalishi Tz pia kuna chanjo au hakuna, kwani mbona watu walitoa mawazo yao kuhusu ile dawa ya corona ya Madagascar.
Sasa sijui unataka kuwaziba watu midomo ili iweje?
Acha masikhara! Yaani probability ni sawa na kurusha shilingi...ina ufanisi mdogo sana kiasi cha asilimia 50 tu.
kwani zilizotengenezwa huzioni tena ni dawa siyo chanjo.sasa wao wanapigwa chanjo na bado wanafungiwa ndani .sasa hiyo chanjo au chanzo.Acha kuongea upuuzi .Thts the point...tutengeneze zetu kama sisi vidume kweli
Hahahaa..naongea na mjinga tu..eishkwani zilizotengenezwa huzioni tena ni dawa siyo chanjo.sasa wao wanapigwa chanjo na bado wanafungiwa ndani .sasa hiyo chanjo au chanzo.Acha kuongea upuuzi .
PfizerKwa hakika maradhi ya corona yameutikisa ulimwengu pakubwa sana. Kama ilivyo kwa maradhi yenyewe kutokueleweka vyema, pia na chanjo zake zimekuwa za kubahatisha sana kiasa kwamba tunaweza tukaziita chanjo za ovyo.
Chanjo 4 kubwa ndizo ambazo zimeshatangazwa na kuuzwa nje ya nchi zilikotengenezwa.
1. Astrazeneca ya Oxford-Uingereza: Zimetajwa kugandisha damu kwa baadhi ya wallochanjwa. Nchi kadhaa zimewahi kusitishwa halafu wakafungulia. Leo Denmark wamesitisha kabisa na kusema hawana haja nazo tena.
2. Sinovic ya China: Nchi ya mwanzo kununua na kutumia ni Brazil. Inasemekana maambukizi nchini humo kila siku yanaongezeka na juzi China imekiri chanjo hiyo ina ufanisi mdogo sana kiasi cha asilimia 50 tu.
3. Johnson & Johnson ya Marekani: Jinsi inavyotengenezwa kutumia mimba changa imepingwa na wengi na hata ufanisi wake nao una mashaka.Marekani kwenyewe na nchi kadhaa wamesitisha.
4. Sputnik ya Urusi: Haijasikika sana. ufanisi na shida zake hazijawekwa wazi.
Hali zote hizo ni miezi michache tu tangu kuanza kutumika kwa chanjo kuzuia corona.Haijulikani hali itakuwaje kwa waliochanjwa huko mbele
View attachment 1751923
Si hamtaki tujadili hizo chanjo kisa hatuwezi kutengeneza za kwetu.Nani anawaziba mdomo?
Na mbona manesi wa Marekani nao pia wanaogopa kuchanjwa.Mbona umeiacha Pfizer na Moderna? ua kwakua unajua hakuna anaye zilalamikia chanjo hizo za Marekani?
RIP Magufuli
Watanzania nyie hunifurahisha sana... Nyie hujiona bora saana, halafu baadaye mnakuja kugundua ya kuwa mlikuwa mmepotea njia kweeeeli. mengi tunayo fanya Kenya huwa mnaona ni kama upuuzi halafu mtakuja kuyafanya baadaye tena kwa wasiwasi na mbio mbio... barakoa tulivaa mkatutusi, sasa nawaona mkizivaa tena sana, lock down tukaweka mkaongea za ovyo mark my words you will soon have lock downs, halafu hizi chanjo mnatusi haitachukua muda kabla hamjaanza kuchanjwa tena kwa pupa..... Hii ndio sababu moja mbaya ya kutotumia kingereza nchini na kukosa kuithamini. mambo mengi hamuelewi until when in dire need.Kwa hakika maradhi ya corona yameutikisa ulimwengu pakubwa sana. Kama ilivyo kwa maradhi yenyewe kutokueleweka vyema, pia na chanjo zake zimekuwa za kubahatisha sana kiasa kwamba tunaweza tukaziita chanjo za ovyo.
Chanjo 4 kubwa ndizo ambazo zimeshatangazwa na kuuzwa nje ya nchi zilikotengenezwa.
1. Astrazeneca ya Oxford-Uingereza: Zimetajwa kugandisha damu kwa baadhi ya wallochanjwa. Nchi kadhaa zimewahi kusitishwa halafu wakafungulia. Leo Denmark wamesitisha kabisa na kusema hawana haja nazo tena.
2. Sinovic ya China: Nchi ya mwanzo kununua na kutumia ni Brazil. Inasemekana maambukizi nchini humo kila siku yanaongezeka na juzi China imekiri chanjo hiyo ina ufanisi mdogo sana kiasi cha asilimia 50 tu.
3. Johnson & Johnson ya Marekani: Jinsi inavyotengenezwa kutumia mimba changa imepingwa na wengi na hata ufanisi wake nao una mashaka.Marekani kwenyewe na nchi kadhaa wamesitisha.
4. Sputnik ya Urusi: Haijasikika sana. ufanisi na shida zake hazijawekwa wazi.
Hali zote hizo ni miezi michache tu tangu kuanza kutumika kwa chanjo kuzuia corona.Haijulikani hali itakuwaje kwa waliochanjwa huko mbele
View attachment 1751923
Kwa hakika maradhi ya corona yameutikisa ulimwengu pakubwa sana. Kama ilivyo kwa maradhi yenyewe kutokueleweka vyema, pia na chanjo zake zimekuwa za kubahatisha sana kiasa kwamba tunaweza tukaziita chanjo za ovyo.
Chanjo 4 kubwa ndizo ambazo zimeshatangazwa na kuuzwa nje ya nchi zilikotengenezwa.
1. Astrazeneca ya Oxford-Uingereza: Zimetajwa kugandisha damu kwa baadhi ya wallochanjwa. Nchi kadhaa zimewahi kusitishwa halafu wakafungulia. Leo Denmark wamesitisha kabisa na kusema hawana haja nazo tena.
2. Sinovic ya China: Nchi ya mwanzo kununua na kutumia ni Brazil. Inasemekana maambukizi nchini humo kila siku yanaongezeka na juzi China imekiri chanjo hiyo ina ufanisi mdogo sana kiasi cha asilimia 50 tu.
3. Johnson & Johnson ya Marekani: Jinsi inavyotengenezwa kutumia mimba changa imepingwa na wengi na hata ufanisi wake nao una mashaka.Marekani kwenyewe na nchi kadhaa wamesitisha.
4. Sputnik ya Urusi: Haijasikika sana. ufanisi na shida zake hazijawekwa wazi.
Hali zote hizo ni miezi michache tu tangu kuanza kutumika kwa chanjo kuzuia corona.Haijulikani hali itakuwaje kwa waliochanjwa huko mbele
View attachment 1751923
Ni vizuri kuwa maoni yako hayawawakilishi wakenya wote.Watanzania nyie hunifurahisha sana....nyie hujiona bora saana, halafu baadaye mnakuja kugundua ya kuwa mlikuwa mmepotea njia kweeeeli. mengi tunayo fanya kenya huwa mnaona ni kama upuzi halafu mtakuja kuyafanya baadaye tena kwa wasiwasi na mbio mbio.....barakoa tulivaa mkatutusi, sasa nawaona mkizivaa tena sana, lock down tukaweka mkaongea za ovyo mark my words you will soon have lock downs, halafu hizi chanjo mnatusi haitachukua muda kabla hamjaanza kuchanjwa tena kwa pupa..... hii ndio sababu moja mbaya ya kutotumia kingereza nchini na kukosa kuithamini. mambo mengi hamuelewi until when in dire need.
Anyway my advice to you people is this; mkiona kenya inafanya jambo fulani, basi igeni mara moja ili m save time na aibu. you are always a reactive country. its high time you people become proactive......hivyo namaanisha endeni na wakati...na kama hamko sure then angalia kenya wanafanya nini halafu muige immediately muepukane na aibu.
Movie zinakuharibuMara hao waliochanjwa wanageuka mazombi duu sijui itakuwaje