Chanjo za Corona ni ovyo kabisa

Chanjo za Corona ni ovyo kabisa

Kwa hakika maradhi ya corona yameutikisa ulimwengu pakubwa sana. Kama ilivyo kwa maradhi yenyewe kutokueleweka vyema, pia na chanjo zake zimekuwa za kubahatisha sana kiasa kwamba tunaweza tukaziita chanjo za ovyo.

Chanjo 4 kubwa ndizo ambazo zimeshatangazwa na kuuzwa nje ya nchi zilikotengenezwa.

1. Astrazeneca ya Oxford-Uingereza: Zimetajwa kugandisha damu kwa baadhi ya wallochanjwa. Nchi kadhaa zimewahi kusitishwa halafu wakafungulia. Leo Denmark wamesitisha kabisa na kusema hawana haja nazo tena.

2. Sinovic ya China: Nchi ya mwanzo kununua na kutumia ni Brazil. Inasemekana maambukizi nchini humo kila siku yanaongezeka na juzi China imekiri chanjo hiyo ina ufanisi mdogo sana kiasi cha asilimia 50 tu.

3. Johnson & Johnson ya Marekani: Jinsi inavyotengenezwa kutumia mimba changa imepingwa na wengi na hata ufanisi wake nao una mashaka.Marekani kwenyewe na nchi kadhaa wamesitisha.

4. Sputnik ya Urusi: Haijasikika sana. ufanisi na shida zake hazijawekwa wazi.
Hali zote hizo ni miezi michache tu tangu kuanza kutumika kwa chanjo kuzuia corona.Haijulikani hali itakuwaje kwa waliochanjwa huko mbele

View attachment 1751923
We have to learn and continue living with Corona while continuing extensive and more research so as to come up with quality vaccines that are safe and efficacious.

Use of current vaccines was expedited while data with regard to safety and efficacy were insufficient.
 
Watu wamepigwa chanjo but wamekuwa vulnerable zaidi..
 
Sasa mnajifaragua nyie mna chanjo gani vitoto vijijin huko vimevimbiana kwa magonjwa?shenji
Watu wanatoa mawazo yao kuhusu chanjo haijalishi Tz pia kuna chanjo au hakuna, kwani mbona watu walitoa mawazo yao kuhusu ile dawa ya corona ya Madagascar.

Sasa sijui unataka kuwaziba watu midomo ili iweje?
 
Nani anawaziba mdomo?
 
Thts the point...tutengeneze zetu kama sisi vidume kweli
kwani zilizotengenezwa huzioni tena ni dawa siyo chanjo.sasa wao wanapigwa chanjo na bado wanafungiwa ndani .sasa hiyo chanjo au chanzo.Acha kuongea upuuzi .
 
Kwa hakika maradhi ya corona yameutikisa ulimwengu pakubwa sana. Kama ilivyo kwa maradhi yenyewe kutokueleweka vyema, pia na chanjo zake zimekuwa za kubahatisha sana kiasa kwamba tunaweza tukaziita chanjo za ovyo.

Chanjo 4 kubwa ndizo ambazo zimeshatangazwa na kuuzwa nje ya nchi zilikotengenezwa.

1. Astrazeneca ya Oxford-Uingereza: Zimetajwa kugandisha damu kwa baadhi ya wallochanjwa. Nchi kadhaa zimewahi kusitishwa halafu wakafungulia. Leo Denmark wamesitisha kabisa na kusema hawana haja nazo tena.

2. Sinovic ya China: Nchi ya mwanzo kununua na kutumia ni Brazil. Inasemekana maambukizi nchini humo kila siku yanaongezeka na juzi China imekiri chanjo hiyo ina ufanisi mdogo sana kiasi cha asilimia 50 tu.

3. Johnson & Johnson ya Marekani: Jinsi inavyotengenezwa kutumia mimba changa imepingwa na wengi na hata ufanisi wake nao una mashaka.Marekani kwenyewe na nchi kadhaa wamesitisha.

4. Sputnik ya Urusi: Haijasikika sana. ufanisi na shida zake hazijawekwa wazi.
Hali zote hizo ni miezi michache tu tangu kuanza kutumika kwa chanjo kuzuia corona.Haijulikani hali itakuwaje kwa waliochanjwa huko mbele

View attachment 1751923
Pfizer
 
Watanzania nyie hunifurahisha sana... Nyie hujiona bora saana, halafu baadaye mnakuja kugundua ya kuwa mlikuwa mmepotea njia kweeeeli. mengi tunayo fanya Kenya huwa mnaona ni kama upuuzi halafu mtakuja kuyafanya baadaye tena kwa wasiwasi na mbio mbio... barakoa tulivaa mkatutusi, sasa nawaona mkizivaa tena sana, lock down tukaweka mkaongea za ovyo mark my words you will soon have lock downs, halafu hizi chanjo mnatusi haitachukua muda kabla hamjaanza kuchanjwa tena kwa pupa..... Hii ndio sababu moja mbaya ya kutotumia kingereza nchini na kukosa kuithamini. mambo mengi hamuelewi until when in dire need.

Anyway my advice to you people is this; mkiona kenya inafanya jambo fulani, basi igeni mara moja ili m save time na aibu. you are always a reactive country. its high time you people become proactive......hivyo namaanisha endeni na wakati...na kama hamko sure then angalia Kenya wanafanya nini halafu muige immediately muepukane na aibu.
 
Kwa hakika maradhi ya corona yameutikisa ulimwengu pakubwa sana. Kama ilivyo kwa maradhi yenyewe kutokueleweka vyema, pia na chanjo zake zimekuwa za kubahatisha sana kiasa kwamba tunaweza tukaziita chanjo za ovyo.

Chanjo 4 kubwa ndizo ambazo zimeshatangazwa na kuuzwa nje ya nchi zilikotengenezwa.

1. Astrazeneca ya Oxford-Uingereza: Zimetajwa kugandisha damu kwa baadhi ya wallochanjwa. Nchi kadhaa zimewahi kusitishwa halafu wakafungulia. Leo Denmark wamesitisha kabisa na kusema hawana haja nazo tena.

2. Sinovic ya China: Nchi ya mwanzo kununua na kutumia ni Brazil. Inasemekana maambukizi nchini humo kila siku yanaongezeka na juzi China imekiri chanjo hiyo ina ufanisi mdogo sana kiasi cha asilimia 50 tu.

3. Johnson & Johnson ya Marekani: Jinsi inavyotengenezwa kutumia mimba changa imepingwa na wengi na hata ufanisi wake nao una mashaka.Marekani kwenyewe na nchi kadhaa wamesitisha.

4. Sputnik ya Urusi: Haijasikika sana. ufanisi na shida zake hazijawekwa wazi.
Hali zote hizo ni miezi michache tu tangu kuanza kutumika kwa chanjo kuzuia corona.Haijulikani hali itakuwaje kwa waliochanjwa huko mbele

View attachment 1751923

Mimi nimepata ya Pfizer; ile sindano ya kwanza haikuwa na tatizo lolote ila ile ya pili iliniuguza kesho yake nikashindwa kwenda kazini. Baada ya siku mbili mambo yote yakarudi sawa na maisha yanaendelea kama kawaida; niliambiwa niendelee kuwa na barakoa kwa mwezi mmoja na baada ya hapo ninaweza kwenda kilabuni kukata makarapusi bila barakoa tena!
 
Watanzania nyie hunifurahisha sana....nyie hujiona bora saana, halafu baadaye mnakuja kugundua ya kuwa mlikuwa mmepotea njia kweeeeli. mengi tunayo fanya kenya huwa mnaona ni kama upuzi halafu mtakuja kuyafanya baadaye tena kwa wasiwasi na mbio mbio.....barakoa tulivaa mkatutusi, sasa nawaona mkizivaa tena sana, lock down tukaweka mkaongea za ovyo mark my words you will soon have lock downs, halafu hizi chanjo mnatusi haitachukua muda kabla hamjaanza kuchanjwa tena kwa pupa..... hii ndio sababu moja mbaya ya kutotumia kingereza nchini na kukosa kuithamini. mambo mengi hamuelewi until when in dire need.
Anyway my advice to you people is this; mkiona kenya inafanya jambo fulani, basi igeni mara moja ili m save time na aibu. you are always a reactive country. its high time you people become proactive......hivyo namaanisha endeni na wakati...na kama hamko sure then angalia kenya wanafanya nini halafu muige immediately muepukane na aibu.
Ni vizuri kuwa maoni yako hayawawakilishi wakenya wote.

Kama nakumbuka vizuri, lugha ya kiingereza haipo popote kwenye viashiria vya ukuaji wa kiuchumi na maendeleo ya nchi au mahali popote, wala sina hakika kama lugha hiyo imewahi tumika kama kigezo cha kuwa intellectual.

Kwa bahati mbaya sana, yanayosemwa humu kuhusu dawa, ni taarifa wanazopata watu kutoka mataifa husika, sio tafiti wala maamuzi ya nchi, hii ndio sababu ya kuwepo vyombo vya kupashana habari. Kama wamesema SA wamesitisha chanjo, ni SA wamesema, waungwana wenye access na taarifa hizo ndo wanatujuza sisi tusioweza kuzifikia taarifa hizo. Au inakutatiza kujaribu kufikiria kwamba kuna nchi ilipinga chanjo hizo kabla, na sasa zinaanza kuwa reject?

Wave 1, watanzania walichukua tahadhari zote, hatukuona hiyo effect ya RONA kiuhalisia mitaani. Na sasa tunavyokodoa macho, hizo barakao na sanitizer zinatumika kwa maeneo waliyoweka ULAZIMA wa kutumika, hasa kwenye maofisi binafsi, ambapo wote wakitoka huko, wakarudi mtaani, hakuna anayevaa hayo makitu.

Kuiga wakenya, hapana. Nyie endeleeni tu kuiga, sio lazima na sisi tuige, na nitafurahi sana siku nikisikia mmeiga MAENDELEO ya Amerika na Ulaya na hivyo kuwafanya kuwa moja ya nchi tajiri duniani, nikasikia kutokana na kuiga, sasa wanafunzi wetu wanajifunza kutokana na ugunduzi uliofanywa na wakenya, kutokana na kuiga, kenya wamekomesha njaa na ukabila, n.k

Asante
 
Back
Top Bottom