#COVID19 Chanjo za corona zimehakikiwaje?

Waafrika!! Unaoji kitu hambacho huna uwezo nacho
 

Chanjo za corona zinahakikiwa Kwa kuwachanja viongozi mfano Rais,waziri Mkuu na waziri wa afya bila spika na Makamu wa Rais.​

 
Ni wachache mno watakao kataa zaidi ya ml 500 Usd ...ikifichwa kwenye mfumo wa mkopo!

Mda ni mchache... ..na hakuna uhakika wa future.. ..
 
Wakemia walishapitisha zilikotoka.

Dawa ngapi zinatumika huulizi, au chanjo ngapi watu wamechanjwa ukiwemo!
Acha upuuzi. Dawa na chanjo zinazotumika zilipitia taratibu za majaribio yote kabla ya kuidhinishwa. Kwa chanjo ya Corona imekuwa ni kinyume, mambo yote yamekwenda fasta. Na kwa bahati mbaya wataalamu tulio nao tofauti yao na wanasiasa haipo. Hawaaminiki.
 
Hatuna chanjo yetu..zote za wazungu..upuuzi uko kwako unaehoji..
 
Muhimu ni ile form tu ukishajaza kukubali kuchanjwa basi hayo mengine ya kuwa ni salama au si salama hayana nafasi tena, na hata sielewi hao wanaosema wamehakiki na ni salama sijui ni usalama upi huo wanaouzungumzia.

nashukuru vile ntakuw wa mwisho
 
Hao ni madalali tu, wanabwabwaja wala hawajui nini kinadungwa kwa wadanganyika!
 
Muhimu ni ile form tu ukishajaza kukubali kuchanjwa basi hayo mengine ya kuwa ni salama au si salama hayana nafasi tena, na hata sielewi hao wanaosema wamehakiki na ni salama sijui ni usalama upi huo wanaouzungumzia.
Serikali imejitoa kabisa haitaki kuhusika na matatizo yoyote yatakayokupata [emoji23][emoji23][emoji23]

Mwenye macho haambiwi TAZAMA!

Huu ni mtego wa hatari sana kwa wale nyumbu wanaopenda kufakamia fakamia vitu hovyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…