#COVID19 Chanjo za corona zimehakikiwaje?

Sasa badala ya kujibiwa kwa hoja, wataanza kukukejeli, hapa ndipo wanapo niacha hoi hawa madalali wa Chanjo
 
Kwanini wewe usigoogle halafu ukatuletea mrejesho jinsi wanavyohakiki chanjo ndani ya siku1?
 

Hos 4:6 SUV​

Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
 

Hivi chanjo zingine kama za surua, malaria au polio watu huwa wanajaza form maalum kabla ya kuchanjwa? Au ni hii chanjo pekee ndiyo unatakiwa kujaza form, na ni kwa sababu gani? Na je, wote waliochanjwa siku ya uzinduzi walichanjwa hii hii Johnson and Johnson au wengine walichanjwa za aina nyingine? Maana hizi chanjo zipo za aina nyingi sana na ubora wake upo tofauti!
 
Hii consent form nimeiona kwenye haya machanjo ya corona tu. Which means, there is a problem.
 

Hos 4:6 SUV​

Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.

"Money is numbers and numbers never end. If it takes money to be happy, your search for happiness will never end."
~ Bob Marley.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…