Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,451
- Thread starter
- #161
sawa.Ndio Lengai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa.Ndio Lengai
Angalia tulivyo rahisi. Ati mabalozi ruksa kuleta chanjo zawo na kuchanja watu wawo.Vipi, mbona zimeingizwa kinyemela sana?
Wamesubiri wakati ambapo sakata la sabaya limekolea na wao wakachomekeamo na chanjo humo humo!
Kama chanjo ni kitu chema, mbona wanakificha ndani ya habari za akina sabaya? ili watu wasitilie maanani ama?
Mimi nilifikiri ujio wa chanjo ulipaswa kuwekwa wazi ili kila mtu atambue kwamba Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN ameridhia kuchanja watu wake!
Hii ingewapa watu ari ya kudungwa hizo chanjo kutoka ulaya ili tudhibiti gonjwa hatari la corona.
Kwanini wameamua kuziingiza chanjo kupitia vichochoroni tena wakati ambapo umma wa watanzania umejikita na drama za sabaya?
Hakuna japo kavideo cha Rais kutoa tamko na kuhimiza watanzania wadungwe chanjo?View attachment 1808167
Miruzi Mingi Humpoteza Mbwa!!Angalia tulivyo rahisi. Ati mabalozi ruksa kuleta chanjo zawo na kuchanja watu wawo.
Nchi zengine chanjo zote ni zile zilizo kubaliwa na Serikali.
India wali watu chanjwa chanjo za feki.
Brazil pia na kwengineko.
kufanya hivyo inaweza kuleta mwanya wa kuingiza chanjo Feki.
lazima kwako!Chanzo ni lazima mkuu hakuna namna.