#COVID19 Chanjo za Sinopharm, Johnson & Johnson na Sputnik hazina uwezo wa kumkinga mtu dhidi ya kirusi kipya cha Omicron

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha omicron.

Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa omicron.

Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.

Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.

CHANZO: Sinopharm, J&J, Sputnik Vaccines Are Weaker Against Omicron in New Study
 
Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha Amicron.

Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa Amicron.

Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.

Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.

Hizi nyuzi ndio zinafanya baadhi ya watu wanafungiwa kuchangia mitandaoni. Unazichukua tetesi unaziandika kama ni habari ya uhakika ni tatizo la urahisi wa kuanzisha uzi hapa JF.
 
Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha Amicron.

Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa Amicron.

Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.

Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.

Kwahiyo unashauri tutumie chanjo gani?
 
Chanjo zinapingwa na zimekuwa zinapingwa na watu kibao Duniani. Kwanza hii rekodi iwekwe wazi.

Na watu ambao wamekuwa wakiipiga Vita chanjo hawakujua hata Omicron itatokea. Fortunately or unfortunately wengine wamefariki hata kabla ya Delta achilia mbali Omicron.
 
Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha Amicron.

Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa Amicron.

Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.

Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.

Punguza uongo peleka mbali uongo wako
 
Back
Top Bottom