DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Chanjo zimekaa kizushi mmTafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha Amicron.
Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa Amicron.
Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.
Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.