#COVID19 Chanjo za Sinopharm, Johnson & Johnson na Sputnik hazina uwezo wa kumkinga mtu dhidi ya kirusi kipya cha Omicron

Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha Amicron.

Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa Amicron.

Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.

Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.

Chanjo zimekaa kizushi mm
 
Uingereza huko mechi zinagharishwa sababu ya Corona.
Na wao ndo wa Kwanza kuhimiza kuchomana chanjo.
Ona watanzania tunavyoishi
 
Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha Amicron.

Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa Amicron.

Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.

Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.

Sio kweli huo utafiti ni fake, !! Fake news in Trump's voice !!!
 
Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha Amicron.

Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa Amicron.

Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.

Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.

Amicron ndiyo nini?...naona umerudia makosa yaleyale zaidi ya mara mbili...

Kinga zote za COVID19 ni za matumizi ya dharula tu...
 
Back
Top Bottom