#COVID19 Chanjo za Sinopharm, Johnson & Johnson na Sputnik hazina uwezo wa kumkinga mtu dhidi ya kirusi kipya cha Omicron

#COVID19 Chanjo za Sinopharm, Johnson & Johnson na Sputnik hazina uwezo wa kumkinga mtu dhidi ya kirusi kipya cha Omicron

JPM was a visionary leader. May his soul rest in eternal peace.
JPM saw it first and earlier, we are seeing it late.

JPM was ahead of time.

Some people get into wisdom earlier and others late, on Covid, JPM got it earlier than most of us.
 
Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha omicron.

Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa omicron.

Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.

Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.

Hiyo ni michongo Sasa🏃.
 
Unajua wakali wa Mr. Slow wapo lakini, au unauthibitisho wa kuwapatia tiisiaraeii🏃.
 
Chanjo hata kama hazikingi kuambukizwa, zinasaidia usiugue sana. Wengi mnaopinga hamjasoma sayansi kwa hiyo mmejaa ujinga. Mnalishwa conspiracy theories mnazikubali. Ukielewa sayansi ya chanjo huwezi kubishana kutumia hoja za kijinga. Ukielewa mwili wa binadamu unapambana vipi na virusi vya magonjwa huwezi kuongea kijinga. Ukishaelewa chanjo zinafanyaje kazi, utapunguza ujinga na kuacha kuamini conspiracy theories.
 
Sina hasira, niko humu kabla yako na niko kwenye mitandao ya kijamii kabla hujazaliwa. Ni vile tu naona huna akili ya kujadiliana na mimi basi.
Bado unaendeleza povu lisilo na msingi. Unatoa habari facebook na whatsapp unaileta humu. Ukikosolewa unatanua mabega na kuleta mbwembwe zisizo na msingi.
 
Nitaishi kulingana na Mungu alivyo nipangia lkn siyo kufa kifo cha kujitakia kama nyie mtakavyo pukutishwa na covid
Cha ajabu,ww uliechanja ndo utaishi kwa mashaka maana hapo ulipo omicron ikitua kwako huna usalama,kwann !! kwanza Kinga yako ya mwl ime relax kwakuwa imebustiwa na chanjo ambayo pia haina uhakika,na usalama pia.sasa mjomba Kaz unayo. utashangaa ambae hajachanja anadunda ,ww unatwaliwa !!.

awamu hii mtakula mi chanjo mpaka muone raha hakiyanani, ndo raha ya unyumbu hiyo!!

NOTE;kovid ipo ,chukua tahadhari,chanja mapema !!
 
Kwahiyo hakuna haja ya kuchoka hizi chanjo zinazotembezwa mpaka kwenye kumbi za mikutano,makanisani mpaka nyumba kwa nyumba,
Huna sababu ya kuchoka, maana kila baada ya miezi kadhaa kirusi kinajibadili jinsi
 
Back
Top Bottom