The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Hizi nyuzi ndio zinafanya baadhi ya watu wanafungiwa kuchangia mitandaoni. Unazichukua tetesi unaziandika kama ni habari ya uhakika ni tatizo la urahisi wa kuanzisha uzi hapa JF.Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha Amicron.
Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa Amicron.
Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.
Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.
Wewe huna akili.Hizi nyuzi ndio zinafanya baadhi ya watu wanafungiwa kuchangia mitandaoni. Unazichukua tetesi unaziandika kama ni habari ya uhakika ni tatizo la urahisi wa kuanzisha uzi hapa JF.
Kwahiyo unashauri tutumie chanjo gani?Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha Amicron.
Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa Amicron.
Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.
Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.
Nilitaka kushangaaJPM was a visionary leader. May his soul rest in eternal peace.
Nakuona upo kazini sukuma gangZitto muongo sana.
#kataawahuni
Umelazimishwa na nani kuchanjwa?Tulishasema siku nyingi Covid haina chanjo
Wewe utaishi milele?Umelazimishwa na nani kuchanjwa?
Kama hutaki kuchanjwa poa tu na ukifa kwa covid watakao lia ni ndugu zako tu
Punguza uongo peleka mbali uongo wakoTafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha Amicron.
Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa Amicron.
Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.
Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.
Chapa Ng'ombe HaaNakuona upo kazini sukuma gang