The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
-
- #41
JPM saw it first and earlier, we are seeing it late.JPM was a visionary leader. May his soul rest in eternal peace.
Hiyo ni michongo Sasa🏃.Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha omicron.
Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa omicron.
Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.
Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.
Unajua wakali wa Mr. Slow wapo lakini, au unauthibitisho wa kuwapatia tiisiaraeii🏃.Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha omicron.
Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa omicron.
Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni kuomba tu usipatwe na amicron kwani ikikupata huna kinga yoyote.
Tuendelee kuchukua tahadhari, covid ni hatari.
Wewe unayeandika usichokijua ndio huna akili.Wewe huna akili.
Kuna tetesi umeziona hapo?
Alitaka atrend kuwa yeye ndo wa kwanza kuugua Amicron🤣🤣🤣🤣Zitto muongo sana.
#kataawahuni
Kajadiliane na mataahira wenzako, sio mimi.Wewe unayeandika usichokijua ndio huna akili.
Povu kama lote, ukiwa na hasira usiingie humu jukwaani.Kajadiliane na mataahira wenzako, sio mimi.
Sina hasira, niko humu kabla yako na niko kwenye mitandao ya kijamii kabla hujazaliwa. Ni vile tu naona huna akili ya kujadiliana na mimi basi.Povu kama lote, ukiwa na hasira usiingie humu jukwaani.
Si tunashukuru ilivyomkataJPM was a visionary leader. May his soul rest in eternal peace.
Bado unaendeleza povu lisilo na msingi. Unatoa habari facebook na whatsapp unaileta humu. Ukikosolewa unatanua mabega na kuleta mbwembwe zisizo na msingi.Sina hasira, niko humu kabla yako na niko kwenye mitandao ya kijamii kabla hujazaliwa. Ni vile tu naona huna akili ya kujadiliana na mimi basi.
unaruhusiwa kushangaa,Nilitaka kushangaa
nakuona mchagga,we ni mmachame,au mrombo,au mkibosho bhasheeNakuona upo kazini sukuma gang
Cha ajabu,ww uliechanja ndo utaishi kwa mashaka maana hapo ulipo omicron ikitua kwako huna usalama,kwann !! kwanza Kinga yako ya mwl ime relax kwakuwa imebustiwa na chanjo ambayo pia haina uhakika,na usalama pia.sasa mjomba Kaz unayo. utashangaa ambae hajachanja anadunda ,ww unatwaliwa !!.Nitaishi kulingana na Mungu alivyo nipangia lkn siyo kufa kifo cha kujitakia kama nyie mtakavyo pukutishwa na covid
Huna sababu ya kuchoka, maana kila baada ya miezi kadhaa kirusi kinajibadili jinsiKwahiyo hakuna haja ya kuchoka hizi chanjo zinazotembezwa mpaka kwenye kumbi za mikutano,makanisani mpaka nyumba kwa nyumba,
Naomba nidm pleaseHuna sababu ya kuchoka, maana kila baada ya miezi kadhaa kirusi kinajibadili jinsi
Naomba nidm pleaseHuna sababu ya kuchoka, maana kila baada ya miezi kadhaa kirusi kinajibadili jinsi
Yule Shetani hakuna Namna atapumzika Kwa AmaniJPM was a visionary leader. May his soul rest in eternal peace.