Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
- Thread starter
- #21
hakuna namna naweza idelete hio chanel? sio siri inaniboa,anashindwaje kua smart?Kaishalipia huyo hadi pesa yake iishe ndo atolewe 😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna namna naweza idelete hio chanel? sio siri inaniboa,anashindwaje kua smart?Kaishalipia huyo hadi pesa yake iishe ndo atolewe 😅
imagine sasa huyo mtangazaj wa kipindi cha chachandu amekaa kama wale wanaume walioasi kambi wanacheza taarab like really??Watangazaji siku hizi ni vijana wa buku mbili, usitegemee maajabu sana.
Unachokiona wanafanya mitaani ndicho hicho kwenye vyombo vya habari utaona wakifanya.
Ukome kuangalia Chanel ya CCM hiohello guys!!
yani naomba niweke wazi mimi sichukii dini ya mwengine lakini kwa hili la channel ten plus you guys sjui mlifikiria nini. kunaye huyo mchungaji ni anaoga tope anagara gara, anaoga vumbi, anaoga maji ya kwenye pipa na suti yake, mnaomiliki hii channel mlifikiria kama kuna sisi watazamaji mnatukera? kibaya zaidi mna kipindi mnaendesha kinaitwa chachandu kinakuwa mchana leo sasa mada ilikua ni kuhusu mishangazi yani like seriously?? nilikua naipenda kwa sababu napenda music lakini mnaiharibu kutuwekea vitu havina mantiki,fikirieni upya kitu mnafanya na huyo mchungaji wenu mnaye mpa promo.
mimi nitajuaje ana kama kijiwodi cha kuunga unga watu kama wapo hospital na mashuka n vitanda vyao ni comedyLakini umewauliza kondoo wenyew kama wanapenda au hawapendi ?
nimeshakoma, what next??Ukome kuangalia Chanel ya CCM hio
Wanalipia shoga yangu, halafu msimamizi wa vipindi anapokea tu bila kuangalia kilichomo ndani. Na pesa ndo ishaingia hivo hadi mkataba uishe.hakuna namna naweza idelete hio chanel? sio siri inaniboa,anashindwaje kua smart?
Huenda kwa tafiti zao ni maudhui yanayopendwa na walaji.imagine sasa huyo mtangazaj wa kipindi cha chachandu amekaa kama wale wanaume walioasi kambi wanacheza taarab like really??
😂😂😂 nilijua niko peke yangu, nina rafiki yang sku moja nikamwambia leo kuona nikatext shoga hebu tune ile channel yule pastor yupo hewani akanijibu haya ni mapya makubwa tenaAlinikela alipo oga kabisa maji kutoka kwenye pipa,
ahhahaha ngoja aendelee kutukomesha wambea.Wanalipia shoga yangu, halafu msimamizi wa vipindi anapokea tu bila kuangalia kilichomo ndani. Na pesa ndo ishaingia hivo hadi mkataba uishe.
so suala la mishangaz now limekuwa okay yan ts okay my 20 years old son adate na mtu umri sawa wa mama yake?Huenda kwa tafiti zao ni maudhui yanayopendwa na walaji.
Una hoja ntajaribu kumzingatia...kumbuka mpaka anafika Hapo amelipia huduma hajaja BURE BURE nowadays Watu wako after money hawajali wateja mtasemaje ...it doesnt make any sense kuangalia huyo pastor wallah nakuapia, yani amekaa kimchongo hivi sikatai lakini i wish umuone tatizo sjui ratiba zao mm hua naswitch channel tu then boom mauza uza
Hahahaha, yule ni chizi Yale manguo na zile nyweleAlinikela alipo oga kabisa maji kutoka kwenye pipa,
Yule ni chizi,full kugalagala chini..hakuna namna naweza idelete hio chanel? sio siri inaniboa,anashindwaje kua smart?
Kwangu sio sawa ila hawa vijana wana maelezo zaidi , hawa kwao mishangazi ni fursa. Yaani kazi yao ni kua na engine ya kasongo tu, shangazo akiridhika na show anatoa maokoto.so suala la mishangaz now limekuwa okay yan ts okay my 20 years old son adate na mtu umri sawa wa mama yake?
siwezi kukupinga kwamwenye akili timamu hawez kufanya vile n wale wasaidiz wake they both look alike!Yule ni chizi,full kugalagala chini..
Huoni tumetazama kipindi na tuko hapa kumjadili.. kwahy AIRTIME , MILEAGE kapata .....lengo katimizaHuenda kwa tafiti zao ni maudhui yanayopendwa na walaji.
aiseeKwangu sio sawa ila hawa vijana wana maelezo zaidi , hawa kwao mishangazi ni fursa. Yaani kazi yao ni kua na engine ya kasongo tu, shangazo akiridhika na show anatoa maokoto.
Cc
Poor Brain
PSL god
Jordy05
Unaanzaje kugalagala kwenye matope ,maji machafu..kunoga vumbi kama sio.....siwezi kukupinga kwamwenye akili timamu hawez kufanya vile n wale wasaidiz wake they both look alike!
Yaah ndio iko hivyo aisee na wanakua addicted na kudate na watu wazima tu.aisee
Uwajibikaji ziroahhahaha ngoja aendelee kutukomesha wambea.