Chansela Scholtz wa Ujerumani asema gharama ya kupambana na Hamas hailingani na umuhimu wa lengo. Hawezi kukaa kimya kuona watu wanakufa namna ile

Kumbe ni siasa za hadaa.
Mimi kinachoniuma zaidi ni ukimya wa waarabu.Hebu tupe na tafsiri yako juu ya hilo.
1. Saudi arabia wanatengeneza nchi yao iwe kama paradiso. Hawawezi kukubali kuingia vita na yahudi mambo yao yaharibike. 2. Misri anayo mikataba imara na yahudi. Kabla israeli haija shambuliwa, egyty anasema alimtonya yahudi. Zaidi sana anajenga ukuta. 3. Mturuki ni mnafiki. Hayupo tayari kwa vita maneno tu. 4. Wengine nguvu yao ni ndogo. 5. Irani pekee anajaribu kusaidia kwa kificho na kwa kuwa hana support basi tena. 6. Wale wa africa nje ya misri, matatizo yao yanawatosha kama sudan, libya, nk. HAMAS HAWAKUTAKIWA KUFANYA VILE, INGAWA WALIJIDANGANYA KWAMBA MUDA NA MAANDALIZI YA KUFANYA VILE YAMEFIKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…