Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Atakubali TU utasikia nime msamehe binadamu tunamapungufu,Kama jamaa Hata kubali, itakuwa imekula kwake.
Kwahiyo alivyotoka kwa Madebe ndo akaolewa na huyo YJ!?Kama jamaa Hata kubali, itakuwa imekula kwake.
Huyo YJ ndo alimuoa baada ya kuachana na Madebe?Chanuo ni kama ephen_ humu ndani.
Jitafakari na ujue nina maanisha niniKivipi
NdioHuyo YJ ndo alimuoa baada ya kuachana na Madebe?
MfwiiiJitafakari na ujue nina maanisha nini
ChanuoMfwiii
Na chanzo cha kuachana YJ ilikuwa nini?Ndio
Mkuu samahani, sina majibu kwa hilo sijui.Kwahiyo alivyotoka kwa Madebe ndo akaolewa na huyo YJ!?
Ali dhani kapata mteremko, kumbe kapatikanaNa chanzo cha kuachana YJ ilikuwa nini?
Ooh,samahani na kilichomtoa kwa madebe ni nini!?Ali dhani kapata mteremko, kumbe kapatikana
Mimi sifatiliagi hayo mamboOoh,samahani na kilichomtoa kwa madebe ni nini!?
Na mie nataka niooneWakuu, em ntumieni hiyo video ya kudhalilishwa
PoaMimi sifatiliagi hayo mambo