Chanuo ataka kurudi kwa mumewe YJ aliyemdhilisha mitandaoni, hii dunia hii

Chanuo ataka kurudi kwa mumewe YJ aliyemdhilisha mitandaoni, hii dunia hii

Hapa kwanza natakiwa nimjue Chanuo ni Nani, na anajishighulisha na nini? kisha nimjue Mume wake walioachana hafu nimjue mwamba anaejamba Jamba sijui, muda huo huo nitafakari ushahidi wa Eche.
 
Mama aliniambia mwanangu kuwa uyaone, Kwa kweli mama nayaona.

Bhana mi ni mtu wa kupost matukio mitandaoni, sasa katika kukusanya habari huku na kule nikapata hii eti yule dada alie tangaza kuvunja ndoa na mumewe, akasema jamaa kafulia hana hela kama alivo kua Dubai, janaume linakoroma, Lina jambajamba kitandani usiku, linakulakula, Leo hii anataka warudiane na Kesha Anza kuseti wapambe waunge mitambo, nimejikuta natabasamu huku napata maumivu makali nakusikitika moyoni, nusura ya mwanaume itatoka wapi?

View attachment 3667359
"Kua" uyaone.
Siyo "kuwa".
 
Back
Top Bottom